Aaah wapi, wakwende huko. We are happy.
Tanzania yetu ndio inchi ya furaha, hata ulimwenguni kote wanajua.
Naye baba nyerere ndio wetu.......naye ndiye aliyeleta uhuruuuuuuuuu!!
Zimwi likujualo halikuli likakwisha- hawakukumalizia utamu ndg.
Kizuri kula na mwenzio ndg.
At least alikuwa na mahawala unaowajua kuliko usiowajua. Acha uchoyo ndg.
Aaaaaaaah!!!!
1. Uungwana
2. Being charismatic
3. Utaalum wa kiswahili na matumizi ya tafsida ( yaani anakupiga dongo taaratib bila matusi makali makali)
4. Huduma za kibingwa za afya na mafunzo ya kibingwa
5. Umeme vijijini
6. Shule za kata
7. Stimulus package (aaaaaaaaaaah, daaah hapa mzee alitupiga...
Nililojifunza ni kwamba jeshi LA police LIKIAMUA, linao uwezo wa kuchunguza Matukio yote yaliyotokea na kuja na majibu katika muda mchache. Hayo matukio mengine bado halijaamua tu kuyafuatilia.
Hivi power ya AG inaishia TLS tu?.
I hope anajua chama cha riadha Tz kinaongozwa na MTU mwenye cheo cha siasa au hapana.
Na wakati Simba ikiwa na rais Mbunge/ mwanasiasa haikuwa issue.
After all , MTU anayeitwa mwanasiasa ni nani?. Kila MTU in mwanasiasa. Tutajikuta tumezuia wote.
Malaya wanazaliwa wapi?
Wanakomazwa na nani kuwa Malaya, umalaya wanajifunzia wapi? .
Why kila kitu serikali?. Njia sahihi thabiti ya kuzuia umalaya ni IPI?
Tuwa - castrate wateja wao?
Wateja wao ni akina nani?.
Mlee mwanao katika njia impasayo, vinginevyo atapasuliwa tu na walimwengu.
Serikali...
Ni chenyewe, kilikuwa kinafanyiwa testing kabla ya manunuzi. Kimsingi tulikuwa tunadhibitisha ubora , uimara, matumizi ya mafuta na speed kabla ya kuvinunua.Another question please??!!!. Case closed.Aaaaaaaaah.
Mimi taarifa hii naiweza tofauti.
Maneno ya msingi ni uchunguzi ufanyike haraka, taarifa itolewe na mashtaka kudai fidia.
Tutashangaa kujua/ kuona watakaoshitakiwa na familia na kudaiwa fidia.Kuna kakitu nakaona katika taarifa hii kako kitechnical. Kuna watu watabebeshwa mzigo na lawama.
The anointed . Wanaongea na Sir God, anawapa maagizo then wanayawasilisha kwetu. Hakuna swali wala mchango wa wananchi.
Ukitaka kupeleka maoni mpelekee sir God atawaelekeza maaskofu cha kufanya.
Chama cha mapinduzi.
Hapo neno mapinduzi katika context hiyo lilitumika kumaanisha nini?
Albamu ya Process J ya Mapinduzi halisi, katika muktadha huo neno mapinduzi lilimasnisha nini?
When we talk of Green revolution huwa tunamaanisha nini?.
Punguza woga, uongo, ujuaji na kisebusebu ndg. Jioni...
Duuuuh!. Tembea uone, dodosa upate majibu ya kweli. Anza na mwenzi wako.
Ukiweza pia soma taarifa za NBS upande wa afya.
Ya mwaka 2010 inasema kwa wastani ( zingatia neno wastani), wanaume walikuwa wamefanya na wanawake kumi na wawili na wanawake walikuwa wamekiri kufanya na wanaume sita...
Hizi tunazoita ambulance zaidi ya king'ora na kutembea speed hazina lolote. Nurse / Doctor huwa anakaa mbele na kuvunja kishoka huku mgonjwa akiwa nyuma na ndugu zake.
Nothing is being monitored, na Mara nyingi hakuna huduma inayotolewa.
Kwa maana ya gharama za uendeshaji, zile zinatumika ku- shut wagonjwa between hospitals. Ya majumbani nafikiri haitolewi.
Kutoka majumbani kwa kutumia ya serikali inakuwa changamoto nyingi.
Hata hivyo huku mikoani sio kila mgonjwa anapelekwa bure na ambulance za serikali ( wajawazito, chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.