Recent content by numlock

  1. N

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Vile vile nasikia anahaminisha uma kuwa ana Phd na sio kweli,mwaka 2004 alifukuzwa USA na alikaa kazi kwa muda mrefu sana,lakini kwa msaada wa mzee Bomani(Mke wa Bomani ni dada wa mama wa James Mbatia) alipewa kazi Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) kama mwalimu wa Hesabu(Mathematics).
  2. N

    Ukweli kuhusu Dk.Nderakindo Kessy

    Mbunge huyu wa Afrika Mashariki alifukuzwa Marekani na kuzuiwa kuingia nchini humo kwa miaka kumi +,pia inasemekana hayupo sawa kiakili.Anaye mfahamu vizuri atatueleza zaidi. ============================ SOURCE: Guardian
  3. N

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Ok,tamko limekaa vizuri sasa kwa wale wanao kurupuka endeleeni.
  4. N

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Nakingine kinacho shangaza ni baadhi ya vyombo vyetu vya habari vinamkandamiza shyrose ambaye ni mtanzania,hiki ni kitu cha ajabu sana,ni sawa na mwanaume kumsifia mchepuko na kumponda mkeo wa ndani.Badilika mtanzania.
  5. N

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Mheshimiwa ameshakanusha lakini bado mnakomaa tu na kumg'ang'ania bila sababu,fanyeni kazi acheni majungu kwa watanzania wenzenu.
  6. N

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Mnaongea sana mkiambiwa kudhibitisha mnaingia mitini.
  7. N

    Sakata la Shyrose Bhanji na agenda ya Wanyarwanda kumng'oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki

    Kuna watanzania wana matatizo sana wao ni kukurupuka tu,waakiambiwa vitu awachuji wala kupepeta ,dada rose yeye ameshakana kuwa hayo mambo sio kweli ila wabongo wanakomaa tu.
  8. N

    Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    Kwasasa kura zipo hiviiiiiiiii Malumbano ya Uraisi ndani ya CCM. Je kati ya hawa unamuunga mkono nani? Bernard Membe 14% Edward Lowassa 44% Emmanuel Nchimbi 0% Fredrick Sumaye 2% January Makamba 1% Samwel Sitta 32% Kwa sasa bado kuamua 7% Total number of votes: 1604
  9. N

    Zitto mjadala - Nipashe yakusanya maoni mbalimbali nchini - Soma

    Quote By MTAZAMO Tusisahau, umeme juu,Gasi juu na subirini impact yake viwandani,Mashambani n.k ili tujifunze kusimama na kushabikia ya msingi.Huyo Zitto anakwenda kunywa mvinyo wake baada ya ushindi na Msando alafu waandamanaji watakutana na giza majumbani mwao baada ya luku kukata ghafla...
  10. N

    Basi la Mtei lachomwa moto

    East Africa Radio ‏@earadiofm BREAKING NEWS: Watu wenye hasira mkoani Singida wamechoma moto basi la Mtei baada ya kugonga pikipiki na kuuwa watu watatu na kujeruhi mmoja
  11. N

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Nilikuonea huruma sana kule jukwaa la sport,ulivyo kuwa unamtetea jamal malinzi kwa ukabila alioufanya. Inaonesha una hulka fulani hivi..........................
  12. N

    mwana-FA yuko China

    Mkuu povu linakutoka kweli kumtetea,mumeo nini?unamtetea mzee.
  13. N

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man utd vs olympiakos
  14. N

    Rais JK Kumzika Mandela na Ujumbe Mzito Kutoka Tanzania!.

    Nakumbuka sana msiba wa regia mtema,ambapo mtu mzima ulipanda hadi kwenye kaburi ili kuona kama dr slaa atasalimiana na Kikwete,kweli kuna watu na viatu.
  15. N

    NEC yapata pigo kuzuiwa upendeleo wa kampuni ya vifaa vya uchaguzi

    Mkunga,baada ya kujibu kwa hoja,unasema gazeti la udaku.watu wengine shida sana.
Back
Top Bottom