Recent content by numeric

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TANAPA kupitia Utumishi

    Habarini!! Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kupeana updates za nafasi za kazi kutoka TANAPA kupitia Utumishi zilizotoka mwezi wa kwanza mwishoni. Wale Askari Wanyamapori, Madereva, Manesi, Maafisa na Wahifadhi tupite hapa kupeana taarifa maana muda unazidi kwenda tu bila kuwa shortlisted au...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ulikaa muda gani mtaani tangu ulipomaliza chuo mpaka kuajiriwa?

    Tangu 2015 mpaka leo nipo kitaa tu na hata ndoto ya kuajiriwa haipo tena ila maisha yanasonga tu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

    mwezi wa saba tu anajistresisha je graduate wa kuanzia 2015 kurudi nyuma mbona maisha yanaendelea tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3 za Kazi ya Udereva katika Wilaya ya Kyela, Mkoani Mbeya

    Hii napita nayo nina vigezo vyote japo nina shahada
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu katika mwili wa mwanamke hunisisimua kama hii.!!

    hawa jamaa wana lugha yao
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Tsh 1.4M (gross salary) nitapokea take-home kiasi gani?

    kadi za harusi tatu kwa mwezi almost 100k
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anasema wanaume wanamsumbua, kama kaka nimueleweshe vipi?

    anampima urefu wa ufikiri
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina fine ya gari tangu mwaka Jana 2018 sijailipa

    ni elfu 60 tu haijabeti zaidi ya hapo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kama unajijua una lower second class GPA, huwezi kuajiriwa utumishi!

    binafsi nadhani kitambulisho cha NIDA ni panga jipya
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama unajijua una lower second class GPA, huwezi kuajiriwa utumishi!

    bro kim punguza hasira [emoji23]
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kama unajijua una lower second class GPA, huwezi kuajiriwa utumishi!

    sua ipi hiyo unayoizungumzia?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Pikipiki ya CCM yaibiwa, Polisi yakamata pikipiki 73

    Hizo glove kama nesi vipi tena?
Back
Top Bottom