Nafasi za kazi TANAPA kupitia Utumishi

numeric

Member
Apr 2, 2019
31
18
Habarini!!
Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kupeana updates za nafasi za kazi kutoka TANAPA kupitia Utumishi zilizotoka mwezi wa kwanza mwishoni.

Wale Askari Wanyamapori, Madereva, Manesi, Maafisa na Wahifadhi tupite hapa kupeana taarifa maana muda unazidi kwenda tu bila kuwa shortlisted au ndiyo tusubiri tena miezi sita.

Mtaani pagumu na njaa inauma sana.
 
Back
Top Bottom