Recent content by numb

  1. numb

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Nakuunga mkono 100% kaka jamii forum inabidi irudishe hadhi yake Back to your point umefkiria mbali sana this is what we need waweke machine na vitambulisho mtu akipita ina jaza log kaingia saa ngapi na katoka saa ngapi
  2. numb

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    Baada ya kutimuliwa ndo aanze kuwa mkweli hahahaha tutaamini vipi anachokisema ni cha kweli au ana nia njema na watanzania Au anataka kufa na wenzie sababu ashakosa kazi tumia akili sio makamasi angekua muadilifu angeshasema kabla ya kutumbuliwa kajipi kake
  3. numb

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Hahahaha mnataka afanye ziara ya kustukiza au acheni uongo na makonda atumie busara ktk maamuzi mi naona kama bado kipindi cha kampeni hakijaisha
  4. numb

    Msala: Wema na Dawasco, wizi wa maji

    Jipo limetumbuliwa
  5. numb

    Elimu Bure: Zigo linalokwenda kuwaamgukia waalimu?

    Bado mna pesa nyingi kwa hiyo mtaendelea kumlipa maana wazazi washamaliza kulipa kitambooo hahahahaha kajipu kashatusuliwa mtulie tu waalimu
  6. numb

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Kwani aliealikwa kusuruhisha ni nani na nani kamuingilia mwenzie Ntarudi nkipata taarifa ilio nyooka
  7. numb

    Home Shopping Centre yakanusha kuhusika na ukwepaji kodi, upotevu wa makontena bandarini

    Naanza kuiona Tanzania ya magufuli kama kichwa cha mdada mwenye nywele kipili pili af alivaa wigi sasa anataka kulivua ili abakie natural kipilipili
  8. numb

    Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Hapa ni Home of great thinker so kafikilie upya
  9. numb

    Wanaolilia Katiba mpya ni Wavivu na Wazembe!

    Iko kichwa chako hakina kitu ila unafugia nywele tu
  10. numb

    Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Nafkilia kwa nguvu "just thinking out loud" Hawa acacia wanasafirisha makontena ya michanga almost kila siku ni kweli inasemekana kuna madini kama silver na coper ila raisi wetu anavyooenda sema na media inawezekana taarifa hii asiiseme kwa vyombo vya habari kweli au jamaa wamesitisha...
  11. numb

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Kwanza ulichofanya ni highest point of evil Mueleze mmeo na ikibidi muachane kwa amani anza maisha yako mwenyewe ndo solution Cha pili kwa style hiyo nimepata lesson sitamani kabisa ndoa hehehe
  12. numb

    Viongozi wa UKAWA wameshiriki kufanya usafi katika Majimbo yao?

    Eeeh kumbe na hili swala lilikua ni la kisiasa mi nilidhani ni la kijamii karibia tutaanza kuangaliana ht kanisani miskitini misibani na kwenye shughuli nyingine za kijamii kwamba ccm wanafanya nini act na ukawa nk.. wanafanya nini mtoa hoja msitugawe sie wote wamoja
  13. numb

    Ufisadi bandari na mabehewa: Kamati Kuu ya CCM yawakingia kifua Sitta na Mwakyembe

    Toka shetani Tokaaa Naamuru shetani amuachie huyu Baba tenda miujiza aweze kuona angalau uhalisia wa mambo pia ajifunze sio kila anaye kupongeza anafurahia unachokifanya Naomba haya katika jina la yesu kristo Ameni
  14. numb

    Ndoto za mapenzi zinanitesa

    Tatizo ni mind set yako jaribu fanya mazoezi kila siku jioni
Back
Top Bottom