Speech inaboa, "niseme kwa kifupi", "nieleze dakika tatu" "mandela alisema" "nyerere alisema" kuzunguka kwingi sana main point hakuna.
Ushauri tu, usiwe unatoa speech kichwani, uwe unakaa unaiandika, alafu unajitahidi kuifupisha angalau 70% uguse main point, hakuna mtu anapenda kusikia story...