Pole sana ndugu.
Najua kwa sasa hakuna mtetezi, na hakuna namna ya kuishinikiza serikali. Woga na nidhamu ya kinafiki imetamalaki.
Ila kuna pa kuanzia, nilitegemea wimbi LA watumishi kujitoa kwenye hivi vyama vya wafanyakazi katika speed ya hatari.
Hilo litakuwa na faida nyingi.
1) automatically...
TBS na TANROADS lengo LA faida kwa mwaka inakuwa sh ngapi??.
Kama wanatengeneza faida why kila mwaka wanatengewa budget ya maendeleo kutoka mfuko mkuu??. Why wasitoe huko huko wanakopata hiyo faida??. Why wanapewa ruzuku ya mishahara wasijiendeshe wenyewe???.
Yaani uwe na duka linazalisha faida...
Msema ukweli mpenzi wa mungu.
Mlioisoma awali bila kuelewa mkaja na mijitusi ; basi mrudi kushukuru kueleweshwa na wanaoelewa haraka, pia mwombe radhi.
Andiko kama hili na Ya Pascal kama huwa hamyaelewi sifikiri kama hiyo hesabu mliambulia hata D. Itakuwa ni FFF kwa kwenda mbele. Na vikatuni...
Kabla ya issue ya mavazi na vetting huko tunaenda mbali; katika hali ya kawaida waziri wa ulinzi na wa mambo ya Ndani hawakutakiwa kuwa na vitambi ili wawe mfano bora kwa askari wa vyombo vyetu vya usalama.
Huenda hizo colour zilizochanganywa kwenye Suti zingekuwa na mwonekano nadhifu kama...
Aaaaaaaaaah!!
Mwanaume soksi za rangi nyekundu ,kijani au njano. Aaaaah!!.
Kuna watu wanapiga suti vest wanaweka za rangi ya purple zinajitokeza kwa juu.
Wa
Wenye ajira za kudumu watahamishiwa sehemu/sekta/ taasisi nyingine zenye upungufu wa taaluma husika.
Kama ni mwanasheria aweza pelekwa kwenye halmashauri, kama ni Mhasibu aweza amishiwa wizara yoyote au taasisi yoyote n.k.
Kuna ambao wataamua kustaafu at 55 years, kuna wachache utumishi...
Imani yangu ni kuwa mtazamo wa wachangiaji kuhusu VVU/UKIMWI ni tofauti na walivyoandika. Wanatania. Vinginevyo tuna safari ndefu sana katika mapambano haya.
Zamani kabla games za soccer za kiafrika hazionyeshwi live, tuliamin visingizio vya kuwa teams za Tz zinaonewa/ kufanyiwa figisu na waarabu. Kwa hiyo tulisikiliza na kuamin malalamiko yao. Ila wote sasa tunajua ukweli. Huwezi amin bila Runinga hata yanga waliyopigwa Jana wangesema ni figisu...
What if ni kazi maalum kwa malengo maalum. Mfano kuhamisha magoli.
Mjadala kuhusu TWAWEZA kulimwa barua una afya kwa serikali kuliko mjadala wa KKKT/ TEC kulimwa barua.
Katika hali ya kawaida kabisa nyakati hizi sikutegemea Twaweza watoe matokeo ya hivi, na yajadiliwe wazi vile, watu watoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.