Kwa hali hii, tutarajie umwagikaji wa damu uchaguzi wa 2020, pale dola, serikali na CCM kulazimisha kushinda

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_2018-07-19-07-16-32.png
View attachment 812958
 
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, ni watu wapole sana, tuko peace sana, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Wasioukubali ukweli huu, watapata taabu sana.

P.
 
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Hahahahaha Paskali bhana.
 
Umejitoa muhanga kweli! Ila alishasema hajaribiwi. Sugu alisema Bungeni kuwa jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo Wa chupa mpaka anashtuka na kukasirika.
 
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Wasioukubali ukweli huu, watapata taabu sana.

P.
Watanzania bado waoga sana, hivo ccm itatawala milele , had keagan paul makonda atakuja kuwa rais, maana tumeshindwa kuiondoa ccm kwa sanduku la kura.
 
  • Thanks
Reactions: Osu
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Wasioukubali ukweli huu, watapata taabu sana.

P.
Wewe Pascal wacha undumilakuwili..........

Hivi wewe kama Mwandishi wa habari mbobezi, waweza kweli kuita nchi hii ina uchaguzi huru na wa haki??

Hivi huoni hizi rafu zinazochezwa waziwazi na CCM wakishirikiana na washirika wake wa karibu NEC+Polisi CCM??
 
Zamani kabla games za soccer za kiafrika hazionyeshwi live, tuliamin visingizio vya kuwa teams za Tz zinaonewa/ kufanyiwa figisu na waarabu. Kwa hiyo tulisikiliza na kuamin malalamiko yao. Ila wote sasa tunajua ukweli. Huwezi amin bila Runinga hata yanga waliyopigwa Jana wangesema ni figisu kumbe uwezo mdogooooi sana.

How often tumesikia mapingamizi ya kutojua kusoma na kuandika???. How often tumesikia taratibu hii kuwa hivi na ile kukiukwa???. Why chama husika kisijipange mapema, kupitia forms hizo vizuri na hatimaye mambo yawe poa.

Kama issue ni pingamizi, why chama mbadala nacho kisiweke???.

Zaidi ya uzembe, upuuzi na kutowajibika, mimi pia naona ni taratibu za vyama mbadala kuhujumu vyama vyao makusudi au kuunga mkono chama tawala kimya kimya.
 
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, ni watu wapole sana, tuko peace sana, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Wasioukubali ukweli huu, watapata taabu sana.

P.
Kwahiyo mkuu na wewe pia unatuambia Tanzania kuna uchaguzi huru na wa haki kweli?
 
Msiziamini sana media, hakuna umwagikaji wowote wa damu, ukweli ni kuwa sisi Watanzania wenyewe, ni watu wapole sana, tuko peace sana, tunaipenda CCM na tunaipatia ushindi wa kishindo kwa kuichagua kwa ridhaa zetu wenyewe katika uchaguzi huru na wa haki, na hili litafanyika milele yote hivyo CCM kutawala milele!.

Wasioukubali ukweli huu, watapata taabu sana.

P.
Huyu ni Pascal au mwingine?
Hahahhaha
 
Hizo ni ndoto za alinacha kwa Tanzania kamwe hakuna kumwagika damu tz 2020 hayo maneno ni maneno ya mfa maji haachi kutapatapa......mmeshindwa kwenye uhalisia mmeamua kuwatisha watz kwa media.
 
Back
Top Bottom