Recent content by NUCLEAR BOMB

  1. NUCLEAR BOMB

    Adhabu ya kumfukuza mtoto nyumabani baada ya kufanya kosa. Je, Ni sahihi au sio sahihi?

    Kulea kunahitaji uvumilivu mkubwa, busara na hekima. Hakuna siku uliwaudhi wazazi wako? He wangekufukuza Leo ungekuwa na uwezo wa kupata huyo mtoto. Watoto wanakanywa hawafukuzwi una mziria nani ?
  2. NUCLEAR BOMB

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Yatupasa kuwa makini na kujifunza mengi kabla ya kuagiza gari.
  3. NUCLEAR BOMB

    Hivi Marekani hakuna walemavu?

    Usipoangalia unaweza ukajikuta unatengenezea watu dili. Anza wewe na Marafiki hapo ulipo weka mfano wenu kwenye hiyo mitandao na wengine watafata. Haifai kuwatenga walemavu kwenye shule zao peke yao inatakiwa wajumuishwe na watoto wenzao ili iwe rahisi kusaidiwa.
  4. NUCLEAR BOMB

    USHUHUDA: Vifurushi vya Internet vya Airtel ndiyo vya ukweli.Wengine wezi tu

    Airtel wabovu kwenye huduma za pesa hiyo Airtel Money ni dolo sana yaani ukikosea kutuma pesa tu imekula kwako hakuna kuongea na mhudumu sa ndo nini. Voda kwenye M-Pesa ndo nawapendaga ( in Mobeto's hub voice)
  5. NUCLEAR BOMB

    Orodha ya Mamilionea 10 wapya wanaotamba Tanzania

    Msijali ipo siku nitawatoa kimasomaso kwenye hiyo Orodha, inawezekana tukiamua tupunguze porojo tuchape kazi kwa malengo.
  6. NUCLEAR BOMB

    Orodha ya Mamilionea 10 wapya wanaotamba Tanzania

    Tatizo wanahujuma tu Mkuu Kilwa, Bagamoyo, Lindi, Mtwara naTanga zimekanyangwa na mfumo makusudi kabisa. Lakini matokeo bado ndo hayo Waislamu hasa Waarabu Wamelisi Biashara toka Karne kwa Karne. Hawawezi kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa mikono yao.
  7. NUCLEAR BOMB

    Orodha ya Mamilionea 10 wapya wanaotamba Tanzania

    Ubaguzi hauna nafasi tz maji hufuata mkondo. Unawaachia nini wanao ndo la kujiuluza na wanavitunzaje na kuviendeleza ni neno jingine
  8. NUCLEAR BOMB

    Angalizo: Massage Parlour za Dodoma ni rahisi mno kuacha familia

    Umeona mumy eee yaani wanaume wengine wanatia aibu aiseee halafu bila haya wanakuja kujitangaza hadharani ushetani wao eti kwenda kuchezewa na vitoto vinawashika hadi nanilii...
  9. NUCLEAR BOMB

    Kuna tatizo kuwa serious?

    Unamwita Mwenyezi Mungu katika mipango yako au huwa unaamini akili yako tu. Huenda Mwenyezi Mungu anataka kukuonesha kwamba yeye ndiye muweza wa yote kuliko wanadamu ndiyo maana anampa aliye wakawaida unayemdharau wewe kwa macho yako ya kibinadamu. Kila mmoja wetu Mungu kampa kitu cha thamani...
  10. NUCLEAR BOMB

    Walah, demu huyu akiendelea hivi hivi sitamuacha..... Adimu sana!

    Hakunaga bahati ya hivyo, ipo siku utarudi hapa kutusimulia yaliyokusibu. Hakuna mwanamke wa kuliwa bure hivyo tangu dunia ianze.
  11. NUCLEAR BOMB

    Walah, demu huyu akiendelea hivi hivi sitamuacha..... Adimu sana!

    Itakuwaje umekutana na jini wewe. Mkuu "rahisi ni ghali", take care
  12. NUCLEAR BOMB

    Huyu Mwanamke Ana Maana Gani?

    Dushe fupi na Akili fupi
  13. NUCLEAR BOMB

    Huyu Mwanamke Ana Maana Gani?

    Hii ni ya kutunga jamani mwatuvunja mbavu site haaaaaaaa uiiii
  14. NUCLEAR BOMB

    Madaraka ya kulevya na intelijensia ya kishenzi

    Siku yao ikifika watayaacha hayo madaraka na mavumbini watarejea kumfuata Msando( R.IP). Mungu ni wa wote.
Back
Top Bottom