Recent content by NtYga

  1. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ndio aone sasa kuwa sajili yake inalipa au alikurupuka kuongea.
  2. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi Pia sijawahi kuwaamini Interms coach wanakujaga na upepo tu ila wakikabidhiwa majukumu wanafyata mikia ni kama RASHFORD alivyotuhunia mwaka ule kaweka Goli nyingi kumbe anamendea mkataka alivyoupata akawa na Daktari akarudi Default Mode.
  3. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    sio kupangwa RASHFORD anatakiwa kufutwa kwenye Kikosi cha msimu huu we were Better off without him iweje sasa hivi tunamtumia kama mkombozi yani upuuzi anaoufanya Carric hata Kocha wa Primary hawezi kufanya.
  4. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na mimi natoka kusema kitu kama hichi tena alivyo mjinga kocha wetu anasifia ety "TULIKUWA NA DIRISHA ZURI LA USAJOLI BILA KUSAHAU TUNAE MAKAME KARUDI NI KAMA SAJILI MPYA TU" Seriously na hapo ndipo alinikata moto.
  5. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nishasema toka Msimu unaanza Huyu Rashid makame anakuja kutukaba tena kwa mala nyingine watu hawakunielewa wakahisi simkubali jamaa ila ukweli ni kuwa Dogo simpendi sana hata siwezi kuelezea, ni kama unavyosema morali imeshuka haiwezekani mtu kama Cunha anahamishwa upande kisa Rashidi na Sesko...
  6. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    The thing is "He is Black" hapo ndipo shida inaanzia.
  7. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kuna watu humu walisema tusubiri INEOS wanayo plan, kumbe Plan ya kukimbia na Pesa za usajili. unatanguliza Nidhamu ya Soko wakati onaona ng'ombe wanono ni wanagombaniwa hii timu inatakiwa kukombolewa toka kwa wanyang'anyi.
  8. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duuh! watu mnayo imani aisee😄.
  9. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dirisha limebakisha masaa tu lifungwe hatuna hata Tetesi ya kusajiri Beki ya kushoto wala striker pale mbele wakati huo Ostazi Benzema hana Timu kwa sasa kwanini asitue hapo OT aje aongeze Leadership kwenye kikosi madogo wanajisahau sana en we still have a Long way to GO mpaka sasa tuko WarmUp...
  10. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watoe tu walisema dirisha hili watatumia zaidi ya Pauni milioni 250 hawajafikisha na muda huo usisahau wame0ata ka mgao kwa Greenwood kama sikosei Pia wamebana Pauni milioni 45 ya Rasmus, hatutaki ligi zichanganye tuanze kulia Tungejua.
  11. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mkuu hawa hawa ma dogo wa u21 huwa nawaona na huyu Dorgu mapepe acheni basi kurahisisha mambo tutakuja tuchakazwe mpaka tuishiwe appetite ya kuchat humu mimi ninawaambia.
  12. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni winga tishio kwa mabeki ila sio Nuno Mendes kaka
  13. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu hakunaga kitu inaniuna kama kuendelea kuona Bado Tunamtegemea Shaw na Dalot kule nyuma nazani umeona leo uchezaji wake dhidi ya Ipswich Yule Winger Fatuwa bwana Luke alikuwa anamwacha atangulize mpira na anashindwa kumdhibiti kwa Mbio kusema kweli tu leo tumecheza vibaya though Licha ya...
  14. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Le Captein Maguire anamkaba mwenzake Badara ya Adui 😆 huu mzigo sijui utatuacha siku Gani.
  15. NtYga

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ulIkuwa sahihi mkuu na wamenikosha sana, sema nikikumbuka hatuna Backup ya LB na hii Stricking Force yetu ya Sèsko na JZ naona Bado hari ni Tete sema naona Balde Barca wanamwachia sijajua Dogo anashida gani tusije kubeba kiraka.
Back
Top Bottom