Recent content by Ntunzima

  1. Ntunzima

    Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

    Fanya wewe uwo ujanja ujanja na hiyo timu yako msimu ujao
  2. Ntunzima

    Serikali andaeni mfumo wa kudhibiti wizi wa pikipiki

    Waasalamu Wakuu. Kumetokea wimbi la wizi wa pikipiki za vijana wetu ambao wamechagua hiyo kazi kujiingizia kipato. Hali inazidi kuwa mbaya maeneo mbalimbali mpaka inaonekana kuendesha boda boda ni kazi ya hatari. Lakini wizi huu umetokana na serikali kushindwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara...
  3. Ntunzima

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo wa bongofleva sijuhi kaimba nani lakini kuna wakati wanaitikia kwa kusema ".. kumbe ye ni gwiji" Nataka kujua kaimba nan??
  4. Ntunzima

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye Kujua matokeo ya hii mechi aniambie[emoji19][emoji19]
  5. Ntunzima

    Nimeletewa IPhone 13 Pro max na rafiki yangu

    wenye infinix note 12 wana wivu sana
  6. Ntunzima

    Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

    Michuano ya kimataifa ndiyo kipimo ya upumbuvu unaoendelea
  7. Ntunzima

    Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Watu wajuaji humu😀😀 Uko Maliopol mtaa gan au tandale😂😂😂
  8. Ntunzima

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kuuliza hii option mpaka mkeka utick inakuwaje
  9. Ntunzima

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom