Recent content by ntunkafu

  1. N

    Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

    Je, huoni kuwa ni Zanzibar ni nchi , ina katiba, ina bunge lake, ina rais wake, ina wimbl waje wa taifa? xHii Zanzibar iliungana na nani mpaka tukapata Tanzania? Hiyo nchi iko wapi? Kama Zanzibar ni nchi mbona haichangii cho chote kwenye muungano? Wabunge wa Zanzibar hushiriki kwenye vikao vya...
  2. N

    Mzee Jakaya Kikwete, rudisha hilo hekalu Serikalini lipigwe mnada pesa zisaidie wananchi

    Je, rais ni mwajiriwa wa serikali, kwa marupurupu ni makubwa kiasi hicho. Ni kitu gani anakikosa ambacho hakujilimbikizia. Asilimia mia marais huwa ni wafanya biashara kwa kuwa na pesa za kutosha. Je, hao waliopendekeza na waliokubali sio wahujumu uchumi?
  3. N

    Trapped to a married man

    Mimi naona umeamu kuolewa naye kwa sababu ya mazoea uliyoyaendekeza. Kama mliachana kwanini ukubali kumrudia? Pili mkifunga kwa siri hiyo ndoa ina maana mke wake hatakuja kujua? Amka katika usingizi huu wa mapenzi, na matamanio, je ungekuwa umeolewa wewe na mwanaume anafanya hivyo kwa mwanamke...
  4. N

    Naomba kujuzwa tofauti kati ya Mtu na Binadamu

    Nami napenda kuchangia kwa haya maneno haya mawili ;mtu na binadamu Kwa mtazamo wangu neno binadamu limetafsiriwa kwa mtazamo wa kidini zaidi - watu wote wametokana na Adamu, hiyo imeleta maana ya Bin - adamu au wana - Adamu. Haina tofauti na maana ya mtu. Mtu ni tafsiri ya kijumla sahihi ikiwa...
  5. N

    Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

    Pole sana na mapito hayo yote. Ukweli ndoa sehemu kubwa ni tendo la ndoa. Mwanamke anaposumbua eneo hilo huwa linaleta usumbufu kweli. Ningeomba kama utatafakari ni kumfikiria jinsi alivobadilishwa kiakili. Kwanza kama unaweza nenda kwa yule anakosali. Akueleza maana ya ndoa inavyofundishwa...
  6. N

    Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

    Nafikiri kuna jambo ambalo hulifurahii kuhusu mwenzako, naona lijadili, kama hufurahishwi kwenye mambo ya chumbani, kuwa wazi zungumza na msomeshe mwenzako. Kupenda sio hisia kupenda ni uamuzi wa moyo huwa hisia, hisia zinafuata uamuzi, hisia zinafuata uamuzi Jaribu kutamka kila siku nampenda...
Back
Top Bottom