Recent content by ntundaga

  1. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Hujataja mapadri
  2. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Nimemtapeli mganga wakienyeji, napitia wakati mgumu sana

    Katika utafutaji wangu nmejikuta nikienda kwa waganga mara kadhaa. Kuna mganga mmoja niliona amenisaidia jambo fulani nikatokea kumwamini. Kwa miezi mitatu mfululizo biashara zangu zilikua haziendi vizuri sana nikajikuta nmeingia katika madeni niliyoshindwa kuyalipa kwa wakati. Kuna mdeni...
  3. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Choo kigumu (kama jiwe)

    Pole sana, badamu bamemwagika, kipa katoka golini tayari
  4. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Usinifokee, ntaendelea kula madem zenu wa chuo mpaka nanyi mtatopata pesa, mnatukataza kuja club nani atawanunulia bier,?
  5. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Ewe mzamiaji, chagua udipotiwe au ubanduliwe 😀
  6. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Piga mkia
  7. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wangu ana baba wawili

    Nimekosa Cha kukuambia aposto
  8. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Mama amekua mbinafsi kiasi cha kujidhurumu mwenyewe haki yake ya kuishi
  9. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Sijawahi/sitawahi kukaa mjini

    Hakuna Raha kama Kunya porini, upepo tu, unaezapitiwa usingiz unakata gogo, mjini unakalia sinki, hapana kwakweli
  10. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe tembo ni msumbufu

    Kuingiza limkonga lake, kupapasa, kufanya dakika kumi, akichoka anaondoka😀 Uzi umejaa matusi tupu
  11. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Kijana wa hovyo kabisa 😀😀😀
  12. ntundaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Acha kuvaa nguo fupi na kukaa uchi mbele ya baba cathe, Mimi ni baba Cathe sio malaika
  13. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Share picha uliyotengeneza kwa AI (Akili Mnemba)

    Neno MNEMBA kwetu ni tusi kubwa sana, ukisema AKILI MNEMBA ndo unaharibu kabisa, umetukana mpaka mizimu
  14. ntundaga

    JamiiForums Tanzania Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

    Mama Jacky hakuombi pesa, pokea simu ukale mzigo
Back
Top Bottom