Recent content by Ntugwa Mbonyi

  1. N

    NSSF na MANJI

    haya ngoja tuone itakuwaje
  2. N

    Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

    Unajuwa ndio maana tunasema katiba ibadilishwe ili iendane na mfumo wa vyama vingi, kwani bado CCM wanadhani ni sawa na wameruhusu vyama vingi ili kukidhi masharti ya IMF/WB etc. uongo mwingi bado, mfano Labor uingereza wanaweza kumhoji PM Gordon Brown kuhusu matumizi mabaya ya fedha na madaraka...
  3. N

    Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

    its ok!!! Change we need
  4. N

    Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

    Tungojee kuona mengi, kwani wengi wanamsikilizia muungwana kama atawatema au laa
  5. N

    Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

    Unajuwa kama huwezi kuendesha mzigo we 'hit and run' kwa sababu hata hao wenye pesa anawapa presha unakuta mzee akimuona hata na kaka yake roho inakuwa juu, Kuna mademu wengine ni 'viburudisho' I mean not every woman can make a wife!!!!!!!!!!
  6. N

    What is the Truth?

    Usikubali mara nyingi mwanamke hukueleza mtu asiyempenda, lakini kwa anayewapenda hakwambii hata kidogo anajivinjari kimya kimya
Back
Top Bottom