What is the Truth?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa mojawapo au baadhi ya haya yafuatayo;

1. Labda mpenzi wako anakueleza hayo in a fair ground just as the way to be open to you.

2. Anakueleza just unconsciously na hata baadaye huenda akajutia kukuambia.

3. Huenda mpenzio alikuwa na affair na huyo mwanaume, na hivyo anakuambia hivyo baada ya kuhisi kuwa huenda umenote itu kama hicho, hivyo anakueleza kama njia ya kujihami kwako.

4. Labda alikuwa na mahusiano na jamaa huyo, lakini sasa anataka kusitisha, then kutokana na udhaifu wake au kutokuwa na sababu za msingi, anakutumia wewe kureact ili kukatisha mahusiano hayo kwa interest zake.

PLEASE WOMEN, Talk about this.........!

What is the Truth.......?
 
Yeah it true; ningependa hata mimi kuelimishwa hapa;

1. Inaweza kuwa anaficha anahamisha mawazo kuelekea kusiko na ukweli kuficha yale machafu yanayoweza kuwa yanafanyika?

2. Na kwa nini wakati mwingine anakueleza wakati tukio limekwishatokea yaani panaweza kupita hata mwaka mzima na hasa ikiwa anayetuhumiwa kutokuwapo karibu yako tena? kwa kisingizio kuwa kutokana na ukaribu mliokuwanao na mtuhumiwa basi alimua kuuchuna ni kweli?

3. kutokuambia kabisaa kwa madai kuwa unaweza kuamua kumdhuru ama kum confront mhusika?
 
Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa mojawapo au baadhi ya haya yafuatayo;

1. Labda mpenzi wako anakueleza hayo in a fair ground just as the way to be open to you.

2. Anakueleza just unconsciously na hata baadaye huenda akajutia kukuambia.

3. Huenda mpenzio alikuwa na affair na huyo mwanaume, na hivyo anakuambia hivyo baada ya kuhisi kuwa huenda umenote itu kama hicho, hivyo anakueleza kama njia ya kujihami kwako.

4. Labda alikuwa na mahusiano na jamaa huyo, lakini sasa anataka kusitisha, then kutokana na udhaifu wake au kutokuwa na sababu za msingi, anakutumia wewe kureact ili kukatisha mahusiano hayo kwa interest zake.

PLEASE WOMEN, Talk about this.........!

What is the Truth.......?

kwenye red ndo ukweli
 
Mwanamke akitongozwa na mtu mwenye qualities zako au za juu yako anakula yamini ila akitongozwa na chakaramu anampotezea na anakusemea ili umkong'ori risasi.
 
Bonge la comment hili Nguli
Kama kuna mwanamke wa kukataa hii kauli ya Nguli aje hadharani apinge na kutoa nyaraka za kuthibitisha
 
Namba tatu na Namba nne ndio ukweli wenyewe

I also doubt this most times....! Lakini mbona wadada wamekaa kama wamemwagiwa maji? Au ukweli unauma? Mwenye kupinga ajitokeze.......
 
You have said it all.

Kwa hiyo iwapo ana qualities kama zangu au zaidi, basi namba 3 and 4 applies, na kama ziko chini, basi namba 1 ndio kweli.....! Basi nitakuwa nimewasoma wachangiaji wa sredi hii.
 
Ndivyo ilivyo mkuu, akitongozwa na mwanaume ambaye yeye mwenyewe anamzimikia hawezi kukuambia! Kwani wewe ukipendwa na demu mkali zaidi yake utakwenda kumsimulia?
icon10.gif
 
Wanawake tuko honesty sana. Mimi nasema, with honesty coz I have nothing to hide. Wanawake tunafanya maamuzi mara moja tuu, kwa hiyo hata kumuambia mwanaume mimi siko interested na wewe sioni shida. Kwa sababu najua, sihitaji kumuweka akiba.
 
FL1, unafiki ni pale ambapo u are undecided. Mimi nadhani kama bado unafanya window shopping huwezi kusema manake ukikutwa siku vicheko etc utashindwa kujitetea. Kama mumeo ni rafiki yako, mnaambiana na kushare vitu vyote, mnaweza hata kumponda na kumcheka mgombea mwenza. Natumaini na yeye ananiambia wote (except wale ambapo ana interest, manake hao mie pia sina interest nao)
 
Usikubali mara nyingi mwanamke hukueleza mtu asiyempenda, lakini kwa anayewapenda hakwambii hata kidogo anajivinjari kimya kimya
 
Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa mojawapo au baadhi ya haya yafuatayo;

1. Labda mpenzi wako anakueleza hayo in a fair ground just as the way to be open to you.

2. Anakueleza just unconsciously na hata baadaye huenda akajutia kukuambia.

3. Huenda mpenzio alikuwa na affair na huyo mwanaume, na hivyo anakuambia hivyo baada ya kuhisi kuwa huenda umenote itu kama hicho, hivyo anakueleza kama njia ya kujihami kwako.

4. Labda alikuwa na mahusiano na jamaa huyo, lakini sasa anataka kusitisha, then kutokana na udhaifu wake au kutokuwa na sababu za msingi, anakutumia wewe kureact ili kukatisha mahusiano hayo kwa interest zake.

PLEASE WOMEN, Talk about this.........!

What is the Truth.......?

Wakuu nakumbuka hii kitu ilishawahi nitokea mimi, nilikua katika moja ya ziara zangu kikazi katika moja ya Mikoa hapa nchini, nilibahatika kuwa na uhusiano na mdada mmoja ambaye kimaumbile amejaaliwa sana, Muungu Muumbaji apewe sifa.

Katika mahusiano yetu aliniambia kitu ambacho alisisitiza ni lazima uhusiano ule uwe ni wa siri sana kati yake na mimi, kwa kuwa yey ni mtu ambaye anajiheshimu na anaheshimika sana katika jamii ya wanaomzunguka, nilipokea wasio huo nikauthamini na nikaheshimu kwa kweli, hakuna nilipohadithia katika mazingira yale na siku zikaenda kidogo kuna rafiki yangu na yeye alinipa mchapo na habari hizo kwamba yeye ana mahusiano na huyo mdada na wasia na kuniambia alipewa masharti ya mahusiano yale kuwa ni ya siri sana, si kuwa na mashaka na mimi ndipo nilipomwambia kwamba ujumbe uliopewa na mimi ninao ilibidi tucheke sana na kupeana mikono , kuhusu hawa madada zetu sikuweza kuamini kama nilikuwa napigwa changa la macho tu.

Inawezekana nikawa nje ya mada kidogo lakini natanguliza samahani kwa wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom