Wauzaji sasa watakwambia walichukua mzigo kabla ya ruzuku,wengine wakwambia Wana mzigo store tangu msimu uliopita ambao walichukua Kwa bei juu iliyopangwa na serikali hiyo hiyo.sijui itakuweje hapo.
Wengi wamesikitikia huu uteuzi,na hata alipoendelea kuwa RPC wa sijui kanda maalum watu hawakuwa na amani.Vyovyote iwavyo,lakini huyu jamaa kesi ya Mbowe ilimwacha mtupu Sana.
Ni ubinafsi tu.mambo mengi yapo hovyo.wangewaacha akina mdee waendelee na hilo Bunge,na chama kama chama waendelee kujipanga kwa yajayo wapambanie katiba mpya na zaidi tume huru ya uchaguzi
Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali...
Kwahiyo tuseme nchi mwenyeji haiwajibiki chochote kwa Rais aliekuja kwa ziara ya kikazi?Usalama wa Rais katika nchi hiyo inakuweje?unaweza kuwa umeeleza ukweli lakini practically inaweza isiwe hivyo.
Labda bangi inahusika,maana yenyewe Ile Kwa kurahisisha mambo na kuona yote Sawa ni kawaida Sana.Ubongo ambao haujasisimuliwa na chochote,hujua kipi kifanyike wapi na lini.kipi kisemwe sasa na kipi kisubiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.