Recent content by Ntopo Kilebente

  1. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

    Aisee
  2. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    Wachache ndio wanamuelewwa huyu jamaa, hip hop inahitaji kufikiria au unapana wa mawazo ili uelewe
  3. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    Kwenye ule dirisha dogo, mechi kati ya FC wekwa ndani vs ChaviChavi Mkali [emoji28]
  4. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    Beti Kubwa la maadui na Dirisha dogo
  5. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

    Wape bei elekezi
  6. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

    Wiki kwa 200,000? Bajeti ya mapumziko inazingatia 1. Nauli na matumizi ya njiani-kwenda na kurudi 2. Usafiri wa ndani unapoenda 3. Malazi+chakula 4. Vitu vinavyohitajika kwa muda wa mapumziko 5. Vitu vya kununua wakati wa kurudi (Sovenirs) 6. Ziada 200,000 naona haitoshi
  7. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea

    Hapo kwenye kupiga mpunga na kusoma dua ndipo akili zenu halisi, huku kwenye “bus kama la liverpool” ni akili za kuazima.
  8. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutakuja kununua katika Maisha yako?

    Home is a feeling, lazima kukupe feeling ya kupapenda so lazima upa design unavyotaka hongera mkuu
  9. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

    Akilalamika wewe unapungukiwa nini?
  10. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Walikuaminisha vibaya masikini, ulikuwa na wasaidizi bila ya kujua
  11. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Inawezekana kama Ke atajenga nafasi ya kuwa na wasaidizi.
  12. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

    Mtaa ni shule ya moja kwa moja
  13. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Tanzania Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

    Tandahimba utaambiwa hakukuwa na watu
  14. Ntopo Kilebente

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujinga niliowahi kuufanya kulilia penzi la mchepuko

    Ulimjibu nini? Na ulimfanya nini alipokija ofisni?
Back
Top Bottom