Recent content by ntongeji

  1. N

    Addis Ababa Ethiopia: Hongera Rais Magufuli kwa kukitangaza Kiswahili AU

    Hivi ulishamuona mzungu anamcheka mzungu mwenzake kwa kutofahamu Kiswahili.? Lugha ni moja ya rasilimali kwenye maendeleo, na kama unataka kufanikiwa unatakiwa kutumia ulicho nacho to the maximum. Hivyo Kiswahili ni chetu tukitumie to the maximum!
  2. N

    Addis Ababa Ethiopia: Hongera Rais Magufuli kwa kukitangaza Kiswahili AU

    Mtegemea cha nduguye hufa maskini.
  3. N

    Naweza kuchukua mafao ya NSSF ya mzazi wangu aliyefariki miaka 10 iliyopita?

    Inatakiwa ndugu mliobaki mkae kwa ajili ya kupendekeza jina na msimamizi wa mirathi, msimamizi huyo ndiye atakayefuatilia mafao husika.
  4. N

    Waziri Angella Kairuki apewa onyo na Waziri mkuu kuhusu zoezi la uhakiki kutofikia mwisho

    Nadhani kuna watu wananufaika na zoezi la uhakiki, ndo maana likiisha hili linaibuliwa lingine kwa design tofauti! Nashauri kama kweli tuko serious tu-focus kwenye key issues ambazo zitatoa matokeo chanya ndani ya muda mfupi ya kile tunachohitaji, na sio kuzunguka zunguka tu huku tukitumia fedha...
  5. N

    Dawa ya kuondoa vyeti feki hii hapa

    Mawazo yako mazuri, japokuwa hata sasa wanafunzi wa form two, four na six wanaruhusiwa kurudia, tofauti ni kwamba form 4 & 6 huwa hawaruhusiwi kuhudhuria darasani pamoja na wenzao na wanatungiwa mtihani tofauti na ule wa wenzao. Ushauri wangu kwa Wizara ya Elimu: Wasitofautishe mitihani na...
  6. N

    Dodoma: Mwanamke Atishiwa kuuawa baada ya kutaja kero za wananchi kwa Mbunge

    Walioajiri wauaji hawana sifa ya uongozi, kwa kuwa wanajulikana ni vyema wakakamatwa na kuchukiliwa hatua za kisheria, ikiwa na pamoja na kuvuliwa madaraka. Wakiachwa kama walivyo wanaweza kufanya ugaidi.
  7. N

    Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Chama chakavu ndo kipi hicho? Kinachoongoza nchi au? Unajua nafasi ya Mkoa wa Shinyanga kiuchumi? Unajua kuwa Mkoa wa Shinyanga una idadi ndogo ya kaya maskini(kaya 33,000), ukilinganisha na Kagera (kaya 66,000), Arusha (kaya 45,000), Mbeya (kaya 68,000), Mwanza (kaya 59,000). Upo hapo?
  8. N

    Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Shinyanga Mkoa uliopanda kielimu kwa kasi zaidi kutoka kushika nafasi za mwisho miaka ya 2010 na kuwa ndani ya 3 bora tangu 2012 hadi leo.,Mfano mwaka 2012 ktk ufaulu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Shinyanga ulichukua nafasi ya KWANZA kitaifa.
  9. N

    Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Hujui Mkoa wenye vichaa wengi zaidi kuwa ni Dar? ,kv akina Scorpion
  10. N

    Usilolijua kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Umesahau mara hii kuwa RC Mara na Arusha wameshatumbuliwa pia?
  11. N

    Serikali kufungia Asasi za kijamii zinaounga mkono mapenzi ya Jinsia moja

    Acheni Mungu aitwe Mungu. Maana yeye ameumba mtu mume na mke akaweka utaratibu vizuri, halafu leo waibuke watu kati ya aliowaumba wanabadili utaratibu! Halafu anamvumilia tu...?
  12. N

    Serikali kufungia Asasi za kijamii zinaounga mkono mapenzi ya Jinsia moja

    Hawa wazungu wanadhani kwa kigezo cha umaskini wetu wanaweza kutupelekesha kama wanavyotaka!? Watuache kama tulivyo, ushoga wao wabaki nao kwao, halafu hawa jamaa wanaadhibiwa kwa maovu yao lkn hawasikii. Sasa wanataka kutuletea laana hiyo. Cha kushangaza baadhi ya Watanzania wanawaunga mkono!
  13. N

    Aliyetobolewa macho na Scorpion apelekwe India kwa ajili ya matibabu

    Huyo Scorpion amgawie jicho lake moja, kama inawezekana.
  14. N

    Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    Mbona mi nimesoma na wahaya tangu form one hadi form four nikaona wako kawaida tu. Hakuna mhaya aliyechukua nafasi bora zaidi yangu kwa miaka yote minne! Kusema kweli hawa watu wanasumbuliwa na roho ya ukabila tu, wanajiona kuwa ni bora kuliko makabila mengine wakati uhalisia sivyo. Utakuta ktk...
  15. N

    Mshamba ni mtu wa namna gani?

    Mtu wa mjini akienda kijijini, akaanza kushangaa life style ya huko ikiwa ni pamoja na lugha, mavazi, chakula nk ni ushamba pia.
Back
Top Bottom