Dodoma: Mwanamke Atishiwa kuuawa baada ya kutaja kero za wananchi kwa Mbunge

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mwanamke mmoja mkoani Dodoma amenusurika kuuwawa baada ya kutaja kero zinazowakabili kijijini kwao kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo lao, mwanamke huyo imebidi ahame makazi yake kuokoa maisha yake

Walioajiri wauaji hawana sifa ya uongozi, kwa kuwa wanajulikana ni vyema wakakamatwa na kuchukiliwa hatua za kisheria, ikiwa na pamoja na kuvuliwa madaraka.
Wakiachwa kama walivyo wanaweza kufanya ugaidi.
 
ukiponda tu
gun.png
 
Nani kamtisha...???
Katika maelezo yake kwenye ile clip, inaonesha ni fitina za viongozi mafisi wanaokula bila kufuta midomo. Yaonesha aliwagusa pabaya kwenekikao cha Muheshimiwa Mbunge wao Lubeleje, kumpa makavu jinsi'ela inavyopigwa hapo kijijini.
 
inasikitisha sana.....
 
Aisee...
Hizo barua hua zinasaidia nini wakati maisha ya mtu yapo hatarini!?!?
Jeshi la polisi linahitaji overhaul kubwa na serikali yenyewe hii ni yakuipiga chini tu.
Namwonea huruma lakini watu wa idodomiya, huchangia kwa kiasi kikubwa kudumaza harakati.
Pole mama siku nyingine tumia kura yako vizuri.
 
Back
Top Bottom