Kama hata mia yake huyo mtoto hajui y usisimame ww kama ww,ww ndo umemzaa huyo mtoto uchungu unaujua,simama imara fanya yako kwa ajili ya mwanao mbona watoto wengi tu wamelelewa na mama na wako poa,
Wanawake wangekuwa wakatili kama mtoa mada alivyokomalia nakwambieni dunia ingekuwa sehemu yenye huzuni na isiyofaa kuishi,tuangalie kwa mama zetu waliotangulia kuona jua,waulizen ni maudhi mangapi wamefanyiwa na baba zetu na bado wakasamehe na kuwastili na aibu,sasa makosa hayohayo wangefanya...
nguzi wa kitaalamu
unaonyesha kwamba hakuna madhara kwa
mwanamke kuendelea kumnyonyesha mtoto
mchanga iwapo atajikuta amepata ujauzito.
Hayo yamebainika wakati uchunguzi mwingine
unaonyesha kwamba asilimia 86 ya vifo vya watoto,
vikiwamo vya utoaji mimba, vinasababishwa na
wanawake...
Hapa unaweza usipate majibu ndugu yangu mzaa mwingi,hayo maelezo nimeyatoa kwenye post moja ya siku nyingi humuhumu ila kwa sasa ingia google andika ujauzito au mimba na kunyonyesha utakutana na majibu mengi ya swali lako!
Re: Swali kuhusu madhara ya mtoto kunyonya wakati mama akiwa mjamzito
Kuna siku nilikuwa namsikiliza mtaalamu akasema wakati wa ujauzito mtoto anaweza kuendelea kunyonya hadi miezi sita au saba. Ila kipindi ambacho mama amebeba ujauzitomwingine kunakuwa na mabadiliko ya homoni ambayo...
Habari wanajamvi,nahitaji msaadawenu wa mawazo,kwa anaejua bei ya hizi toyo za miguu mi3 kwa ajiri ya kubebea mizigo zinauzwaje?na wazoefu wa biashara hii ukimkabidhi mtu anakupatia shimgap kwa siku?
Mbafuuuu sana nawachukia wanaume dizaini yako,sa sijui hapa ulikuja kushauriwa au kutuonesha kwamba ww ni kidume na unahaki za kumcheat mkeo,make naina unafurahia tu kwa majibu yako ila nakuapia,one day one time UTALIA kama unavyomliza mwenzio,na sie wanawake tuko hivi tukichokaa tunachoka...
Kaka hapo uko sawa kama ulikuwa kichwani mwangu,mie mume wangu kanicheat tena na wanawake zaidi ya wawili na kila kukicha anatafuta wengine nimejua so hapa napanga mashambulizi ya kimya kimya ili nami niwe happy coz sitaki stress, hisia zangu kwake zimepungua,sina raha nae kabisaaa.hata kudu...
Jamani binadamu tumeumbwa kusahau yaan kashasahau kabisa taabu Za ujauzito na hata uchungu wa leba, Lakini tusijaji sana coz hatujii nini kipo nyuma ya pazia uenda mama yake kaenda kujiua na maswaibu yalomkuta hatujui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.