Recent content by Ntikwite

  1. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Baba yangu anasumbuliwa sa naa na hii kitu nifanyaje??
  2. Ntikwite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi amenipendea hela zangu au yupo kwangu kwaajili ya manufaa yake binafsi haswa kiuchumi

    Ushauri, mzibie njia zote za yeye kupata pesa kutoka kwako uone itakuwaje,yaan kila akikuomba pesa mwambie umebanwa hauna then uone ata react vipi, inawezekana pesa zako umezi expose sanaa kwake ndo maana anaona n rahisi kuzipata kutoka kwako, inawezekana ana nia nzuri tu na wewe ila wewe...
  3. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

    Kigoma
  4. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Bawasili bado n tatizo
  5. Ntikwite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

    Shida ilianza pale ulipounganisha whatsapp yake kwako, usingefanya ivoo haya yote yasingekukuta nakushauri usije ukarudia hiyo tabia kijana
  6. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania PLEASE I ASK FOR THE LEGAL HELP

    Ukiingia kwake bila ruhusa yake anaweza akakushitaki kwa kosa la kuingia kwa jinai, na ukichukuwa kitu chochote humo ndani pia anaweza kukushitaki kwa kosa la wizi, na mwenyekiti hana mamlaka kisheria ya kuruhusu ufungue nyumba ya mtu wakati hayupo na uchukue vitu, wewe na mwenyejiti mnaweza...
  7. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nasaha/maneno yepi ya Baba/ Dingi/ Mshua wako?

    Aliniambia hiv mwangu nakwambia kitu leo kuwa, kwenye hii dunia unaona watu wanahangaika sanaa kutafta mali, Lakini leo nakwambia kuwa mali siyo ngumu kuipata ila kigumu ni kulinda mali uliyo nayo maana ukiwa na mali utakutana na mambo yote yaliyopo kwenye hii dunia, mazuri na mabaya je...
  8. Ntikwite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikikumbuka kilichotokea nyuma napata uoga na kushindwa kufanya chochote

    Shida mimi syo mtumiaji wa hizi mambo mzee[emoji23]
  9. Ntikwite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikikumbuka kilichotokea nyuma napata uoga na kushindwa kufanya chochote

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mmi ni kijana mwenye 27yrs nmekuja hapa nina changamoto moja ninaomba msaada wa kimawazo au solution ikibidi, ipo hivi; Mwaka 2020 nlikutana na manzi mmoja ambae alikuwa ni mzuri kiukweli, alinizidi kila kitu isipo kuwa pumzi tu na umri. Nilimtongoza na...
  10. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Manufaa ni kunufaika tu nakusepa umuhimu ni jambo linalokufaa wakati wote, Mtu anataka kunufaika nawe tuu kwa jambo lake asepe so usimpe nafasi, Mtu wa muhimu kwako niyule anayesimama nawe bila hata manufaa Hivi ndivyo nmemuelewa mzee hapo mwisho
  11. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    ATM mwisho wa kutoka kwa masaa 24 ni 1m only
  12. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Legend katika ubora wako[emoji1787] ubarikiwe sanaa kaka natoka na mengi hapa[emoji120][emoji120]
  13. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwajua maadui zako kupitia ndoto

    Mkuu mimi ninashida moja nikiamka asubuh nakuea sikumbuki chochote nlichoota labda nikistuka ndotoni kwa wakati huo ndo naweza nikaikumbuka ndoto yote, nifanye nini ili niwe nazikumbuka ndoto asubuh?
  14. Ntikwite

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Tukutane mwezi ujayoo
Back
Top Bottom