Recent content by NTIGAHELA

  1. NTIGAHELA

    PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

    Hakuna taifa linaloweza kumuacha mtu anayetangaza kuasi serikali halali halafu ikamuacha hiyo nchi haipo
  2. NTIGAHELA

    Mwenezi wa BAVICHA, Siglada Mligo aelezea tukio la kupigwa na kulazwa hospitalini

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) @BawachaTaifa Taifa, Sigrada Mligo, ameripotiwa kujeruhiwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz Bara, John Heche @HecheJohn, Machi 25, 2025, mjini Njombe...
  3. NTIGAHELA

    PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

    Kabla ya kuanza kumlaumu makala jiulize Kwanza kwani chadema hawawezi kuyafanya hayo?kwangu Mimi chama hiki nakijua kama chama hatari Kwa usalama wa nchi hii kwani wamewahi kufanya matukio mengi na ya hatari tukio la Kwanza bomu la Arusha hili ni tukio limejulikana lilikua tukio la kupangwa na...
  4. NTIGAHELA

    Zitto Kabwe kufukuzwa CHADEMA ilikuwa ni jawabu kwa Watanzania waweze kupata chama kipya

    Chadema ni mali na SACCOS ya mbowe hivyo yeye anajua nani awe kiongozi nani awe mwachama wa kawaida nani atakuwa mgombea urais
  5. NTIGAHELA

    Nahitaji kununua Gari

    Ninahita gari used Nina milioni sita mwenye nalo tafadhali tuma picha ya Hali yake
  6. NTIGAHELA

    Wafanyabiashara wamkataa na kumpinga Tundu Lissu na CHADEMA yake. Wasema Serikali Ya CCM ni sikivu

    Kweli Chadema ni matapeli ndiyo maana watu wameanza kuisusa
  7. NTIGAHELA

    DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Mzee umesema ukweli kabisa hata mimi nimeshuhudia viongozi wakigawana pesa za miradi ya shule na zahanati katika vijiji vya goweko nslololo na kuacha maboma yakiwa hayaendelezwi na pesa serikakali viongozi wako busy kuwalazimisha wananchi wajitolee na kuwashtaki Kwa kutojilea huku wao wakinifaka...
  8. NTIGAHELA

    Naomba kujuzwa chanzo cha ziwa Tanganyika

    Naomba kujuzwa hivi ziwa Tanganyika likitokana na nini Kwa maana kumekuwa na dhana mbili Moja ikisema ni ziwa Tanganyika likitokana mvua na mito na mabonde nyingine ikisema ni ziwa likitokana na volcano sasa naomba kujua ipi sahihi kati ya dhana hizi mbili
  9. NTIGAHELA

    Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

    Sukuma gang Kwanza hamna hata hoja hivi benki zikifungwa nchi itaendelea vipi hamuoni nchi hii ilikua kwenye hatari ya kufilisika ndiyo maana miradi ilikua inaendeshwa kwa pesa za kukopa china tena kwa riba ya juu zaidi halafu mkabaki mnadanganywa kwmba ni pesa zetu
  10. NTIGAHELA

    Rais Samia bingwa wa siasa Tanzania

    "Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha Kali, Uhasama wa Kiitikadi ndio Upinzani Hasa, Kumbe Siasa Yenyewe Inasura nyingi, inarangi nyingi...
  11. NTIGAHELA

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    TUNAWEZAJE KUIONDOA CCM KWA KUDHIHAKI KAZI ZA WANANCHI? [emoji117]Ndio Bodaboda ni kazi Kama zilivyo kazi zingine halali. [emoji117]Pikipiki ni usafiri wa umma Kama yalivyo Magari, Ndege na vyombo vingine vya usafiri Kuna wanaotumia kama chombo binafsi Cha usafiri lakini wasionavyo wanachukua...
  12. NTIGAHELA

    Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Mhe.Tundulisu amethibitisha Chadema kuanza kupokea Ruzuku kuanzia mwezi huu Machi 2023. Na. Abdul Nondo. Uthibitisho huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, ndug.Tundu Lissu jana Jumapili, Machi 05, 2023 wakati akijibu maswali kwenye hadhara iliyofanyika kwenye mtandao wa Clubhouse...
Back
Top Bottom