NTIGAHELA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 362
- 254
Naomba kujuzwa hivi ziwa Tanganyika likitokana na nini Kwa maana kumekuwa na dhana mbili Moja ikisema ni ziwa Tanganyika likitokana mvua na mito na mabonde nyingine ikisema ni ziwa likitokana na volcano sasa naomba kujua ipi sahihi kati ya dhana hizi mbili