Recent content by nteze john lungu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Catherine Magige(Mb): Mwanaume wa Kisukuma amewashika pabaya

    Ni noma asa anakula hadi kiti maalum
  2. N

    JamiiForums Tanzania Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    Roberto Fabian ayala Mathiass Almeyda Bogdn Stelea Cesar Sampaio ALDAIR MUTIU ADEPOJU GARBA LAWAL HIDETOSHI NAKATA THEODORE WHITMORE Frank Sinclair Deon Burton Paul Scholles Abdeljelili Hadda Ally Zotoun Mehdi Ben Slimane Salahedeen Bassir Pierre Djaka Njanka Anthony Polster Kjektil Rekdall...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    Walikuana kipa wao mbabe Bogdan Stelea, nilikua namkubali sana huyu kipa. Pia kulikua na wakali wengine kina Adrian Ilie, Viorel Moldovan, Gheorghe Popescu, Dan Petrescu na team captain Gheorghe Haggi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    France 1998 ndo kombe la dunia bora kabisa nililopata kuliangalia,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya viongozi yanatisha

    Hivi huyu Mao Santiago yuko wapi siku hizi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Taja Wanasoka Unaowakumbuka katika Kikosi hiki cha Ajax Fc

    Handsome boy full back ya kulia Michael Reizeger
  7. N

    JamiiForums Tanzania Taja Wanasoka Unaowakumbuka katika Kikosi hiki cha Ajax Fc

    Kiungo bora kabisa wa ki Nigeria
  8. N

    JamiiForums Tanzania Taja Wanasoka Unaowakumbuka katika Kikosi hiki cha Ajax Fc

    Mkuu kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba goli alifunga kwa mguu na si kwa kichwa, na sababu ya kutoanza ni kwamba alikua bwana mdogo aliyetoka timu ndogo ya Amstedermache Football Club Ajax,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

    Huyu jamaa bado yuko dodoma ila anaonekana kama ni mgonjwa na mpira hachezi tena
  10. N

    JamiiForums Tanzania Babu kaniambia ili tushinde Leo huko Burundi Kikosi cha Kuanza Taifa Stars kiwe hivi.....

    Huy Huyu sio pacha ni POPOMA mwenyewe kaja kivingine
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukran sana mkuu gwankaja
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkui Kioo tafadhali naomba unisaidie kupata nyimbo zifuatazo Anakudanganya B love M Busy SoulnFaith ft Pig Black Kama huwezi Rama dee ft Lady jay dee Nimpate wapi Richie Longomba ft Lady jaydee Na Namtafuta mrembo wa Matonya
  13. N

    JamiiForums Tanzania Keith Sweat Vs R Kelly

    Kells A.k.A Choir Master Mfalme wa Rnb duniani ni mkali kamzidi mbali sana mbwia bwimbwi Keith Sweat.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Bobby Brown amtembelea mtoto wake, akiwa na mama wa Whitney Houston

    Muhuni sio mtu asee Boby Brown kawaingiza kwenye ngada mama na mwanae, wao wamekufa yeye anadunda tu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

    Whitney Elizabeth Houston
Back
Top Bottom