Recent content by Ntasemakweli

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Wewe unasema ubasoma biblia halafu umekosa suluhu kuhusu kudhulumiwa,? Soma kuhusu Isaka alidhulumiwa visima sita mpaka kisima cha Saba amvacho kilibaki akakiita Rehoboth? Ukiona unadulumiwa endelea kutafuta opportunity nyingine ndio mpango wa Mungu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya kusoma biblia, hakika biblia ni zaidi ya vitabu vyote

    Kama hujapata maswali magumu basi hujasoma biblia, ukifika kitabu cha Isaya nabii, Daniel na Ufunuo nitafute kwa changamoto yoyote utakayokumbana nayo au tuambie umesoma vitabu gani tukuulize maswali. Kama hujaleta maswali hujaelewa unachosoma
  3. N

    JamiiForums Tanzania Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Tafuta mwanasheria fungua kesi ya unfair termination. Utalipwa hela za kutosha
  4. N

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine

    Atakua alisema anauza kwenda kumtibia mumewe Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Ufafanuzi wa yule dada aliyeandika vitabu vyenye ukubwa kama wa kuandika PhD thesis. Mamia ya vitabu ili kutengeneza CODE ya kwenda mwezini. Nini kilitakiwa kiwe ili kuwezesha kwenda mwezini kwa kutumia code iiyoandikwa kwenye vitabu vyote vile Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki latoa waraka mpya unaiotwa 'Dignitas Infinita' likipinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa Mimba

    Kwenye kupandikiza mimba umepotosha sasa sijui kwa maslahi ya nani. Ungesema linakataza kupandikiza mimba kw niaba lakin wewe umeonyesha kana kwamba kanisa linapinga kupandikiza mimba kwa ujumla wake hata kama ni kwa wana ndoa ambao wanafanya kwa ajili yao wenyewe na sio kwa kubeba mimba kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudiana naye?

    Ukiweka condition akuoe ndo mzae, sahau kupata mtoto. Mtansubiri sana lakini hatakuja, mkihurumiwa sana atakuja kwa kuchelewa sana . Kumbuka wote hamkuwa mnamtaka huyo mtoto ndo maana ya toa, usitoe. Tumbo la uzazi linatunza kumbukumbu. Wewe sasa hivi ukizaa ni kwa kupitia kwa mtu tofauti ambaye...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Mimi nina SASO
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    tafuta bima ya maisha kama emergency
  10. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

    Unachotaka kumaan isha kwa umma sio kweli. Watu wanaposafirisha misiba kuna wakati wanahitaji huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na chakula. kupiumzika sometime na hata kupoteza mawazo ili waendelee na safari muda muafaka. hakuna watu wanasafirisha maiti njiani halafu wanalia safarini. sio kweli
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi: uku kwetu mapema tu umeme umeshakatika hali ikoje uko kwenu ??[emoji1787]

    Huyo mwarabu waliempatia TANESCO wanataka nyie wenyewe ndo muombe aje front. Umeme umejaa hapo Uganda serikali inashindwaje kununua? Huu ni mchezo tunachezewa na watawala Ili kahalalisha kuleta limkataba la Mwarabu lililofukiwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mfupa wa TANESCO mgumu apewe mwekezaji

    TUnajua mahujumu TANESCO maksudi kwa sababu kuna mwekezaji mmeshampatia mkataba ila mnashindwa kumleta mbele so mnaanza kuihujumu na kuleta chawa walete hizi hoja
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

    Wanaume wakatili huwa ni wakimya hawasemi chochote, huyo mume wake ameshajua kinachoendelea ila anajidai hajui. utakuja kujikuta upo kwenye jengo halijaisha kujengwa na hujui ni wapi na pembeni kuna SMG na majitu usio wajua sura wala hukuwahi kuwaona.
  14. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Kwa vyovyote bike kwenye hayo mamikataba 36 ya huyo mama Nushati haiweei kukosekana. Hapa serikali wanaihujumu makusudi Ili wapate kisingizio Cha kumleta hadharani mwarabu waliempatia kuendesha mabwa you're ya umeme Tanganyika na kusimamia umeme nchini Neiman. Wanasubiri mpige kelele Kwanzaa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwa asilimia kubwa nchi za kiarabu na Asia ndio zinazokumbwa na matetemeko ya ardhi na mafuriko?

    Kuna majanga ambayo yanakuwa artificially created. Hiyo tech ipo na Marekani ndo wanaityoua sana kujaribu nchu zinazotishia uchumi wao. Urusi wanawezaje tech ya kukihami na hii michezo. Pia nao Wana tech Yao ya majanga Ila hawautumii. Nchi Kama Irani ingeshatoweka Ila inasaidiwa na Urusi kukwepa...
Back
Top Bottom