Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine

Wachaga katika ubora wao,
Hii nchi siku akiwa raisi mchaga tutakuja kupigwa mnada yule mmoja alikuwa gavana na mwingine alikuwa waziri mkuu pesa walizoiba unaweza kutandika chini kuanzia tanga mpaka mwanza.

Wachaga acheni tamaa
Hahahahahhaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nina t-shirt yangu ya kulalia nimeichapa maadishi ya "Sleeping with enemy" nadhani ujumbe huwa unawifikia Wake zangu, tena wasije kuthubutu kuliuza pagala langu.

Nitakuwa mgeni wa nani?
 
Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba.

----
Mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini, Omary Charema Msangi amejiua kwa kujinyonga bafuni kwake kwa kutumia waya wa pasi.

Tukio la kujinyonga mstaafu huyo limetokea usiku wa kuamkia jana akiwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi eneo la Kiboriloni Manispaa ya Moshi ambapo mwili wa mstaafu huyo ulichukuliwa na kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio leo Jumatano Januari 26, 2022 akisema bado wanaendelea na uchunguzi wa kubaini chanzo cha kujinyonga kwa mstaafu huyo.

"Ni kweli hili tukio limetokea na tunafuatilia kujua hasa chanzo cha kujinyonga kwake," amesema Kamanda Maigwa

Taarifa za chanzo cha kijinyonga kwa askari huyo kutoka kwa mmoja wa ndugu wa familia hiyo zinadai kuwa wakati mwanaume huyo akiwa kwenye matibabu mkoani Dar es salaam, mke wake alitumia nafasi hiyo kuuza mali zake zote ikiwa ni nyumba, mashamba pamoja na mali nyingine.

Inadaiwa kuwa baada ya mstaafu huyo kurejea nyumbani kutoka kwenye matibabu alikuta nyumba yake imeuzwa na kulazimika kwenda kupanga.

Chanzo: Mwananchi
Kama alizipata kwa kudhulumu nayeye kadhulumiwa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuua mtu kwanza uza shamba lake, mkabe, tupa maiti bafuni na kamba pembeni. Polisi wa kibongo atasema kajinyonga. Shamba lake limeuzwa kajinyonga.

Hawako trained kabisa masikini, hawajawahi kusikia "staged murder scene."
Kwa kweli ploisi wetu hawana hata intuition ya kuwa trained kuwa investigators.
Wao ni kuchapa mtu kwa waya wa umeme mpak mtu aseme poo!
Mwisho wa uchunguzi, hakuna forensic ivestigation wala homicides investigation.
Kwa mfano huyu polisi aliyesemekana amejinyonga, hata leo ukifanyika uchunguzi wa kitaalam itagungulika alikufaje!
 
Kwa kweli ploisi wetu hawana hata intuition ya kuwa trained kuwa investigators.
Wao ni kuchapa mtu kwa waya wa umeme mpak mtu aseme poo!
Mwisho wa uchunguzi, hakuna forensic ivestigation wala homicides investigation.
Kwa mfano huyu polisi aliyesemekana amejinyonga, hata leo ukifanyika uchunguzi wa kitaalam itagungulika alikufaje!

Haahahaa
 
Back
Top Bottom