Wadau,bunge limekalibia na hii inawahusu wafuasi na wanachama wa ukawa,ukawa bado ipo vzr na ina ushirikiano wa kutosha na inazidi kuimarika kila uchwao,lkn ktk huu muungano bado sijaona faida kwa nccr na nld,labda tusubiri bungeni lkn wakiendelea na kauli mbiu ya wengi wape basi hawatafaidika...