General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Wakuu habari.
Nikiwa mkazi wa Kibamba nasikitika sana kutosikia sauti ya mbunge wangu wa kibamba John Mnyika.
Sijaweza hatamuona ndani ya bunge, au hata kusikia kachangia chochote bungeni.
Tukiachilia hayo pia sijapata kusikia sauti yake nje bunge yani hata kwenye chama chetu.
Naomba mwenye taarifa sahihi za kijana huyu atufahamishe tafadhali