ntamwangah
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 164
- 23
Hakika miongoni mwa watu ambao watakaa kwa kujutia ni kaka yangu Zubery Zito Kabwe, Zito kaponzwa na tamaa na kujifanya yeye ndo yeye mpaka vikamfanya ajione hakuna mwingine zaidi yake na kumfanya apoteze uvumilivu.
Zito angekuwa amevumilia na kuwa na subira, sasa tungekuwa tunazungumzia urais na wenyekiti wa Zito uchaguzi ujao na angeshinda, sasa kapoteza nafasi na hawezi kuja tena ipata hiyo nafasi, labda aende CCM.