Dah! mapema mwaka huu? Hiv mhJafo anafaham maana ya mapema? Afu watu wengine wanapenda sifa eti mlitumia vibaya boom, hivi unajua watu wote wanapata asalimia mia? Je, unajua kuwa kuja kupata boom unakuwa una madeni lukuki, na baada ya boom la kwanza kwa linalofuatia hucheleweshwa sana hadi...
hao wanafiki tu coz kila ngoma wanacheza, leo serikali ikisema bunge lioneshwe live hawawezi kupinga kwa hoja hizo hizo mfu. wamejigeuza watetea serikali kwa kujikomba. uzuri JPM anawaona wale waliokuwa miiba enzi za JK na wale wapiga makofi na vifijo pamoja na kuzomea wameishia kusugua benchi...
kwa nini kuwe na utitiri wa vyama? si muungane na wengine ktetea taifa? transprt fare ni kiduchu kwa wa far, kubwa ka wa karibu, tafakari upya hii fare
Kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za utumbuaji majipu ambapo baadhi ya watu wameendelea kuhoji na kuzikosoa. Binafsi nimefarijishwa na utumbuaji huo kwa kuwa kilio chetu hasa watoto wa wakulima kilikuwa hilo genge la mafisadi. Mh.Rais, nikuombe sana kwa utashi wako kabisa na kwa dhamiri yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.