Recent content by Ntakasime

  1. N

    Twenzetu Uganda: Jinsi ya kununua hisa za MTN Uganda

    We jamaa una akili sana. Kiukweli wabongo kenye elimu ya masoko ya fedha tulilala kupiliza. Lakini angalau saizi tumeanza kuamka. Ndo maana ukiangalia hata huko kwenye Tbond mambo ni fire. Ushindani kama wote yani. Mm niwasihi Watanzania wenzangu tuamke! tuamke! Ni kweli tuliowengi vipato vyetu...
  2. N

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Kwa mtazamo wangu mama yako si kwamba hakupendi/hakukupenda kama unavyodai. Kitendo cha kukuhost miezi 9 na kuruhusu kwa nguvu za Mungu utoke ukiwa hai na kukulea kwa kiasi alichoweza ni upendo tosha. Baadhi ya mambo aliyokufanyia ukiwa mkubwa. Ilikuwa ni kwa nia njema tuu ya kukukomaza. Mm...
  3. N

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Nimefanya upekuzi wa mazingira ya kondoa mpaka kiwandani . Ni hivi kwa sasa wakulima wamepata hela ya mbaazikwahiyo mbuzi wana bei kidogo . Kwa mujibu wa ushauri wa mwenyeji wangu alishauri nianze mwezi wa 11. Hata hivyo tar 15 Oct naanza mdogo mdogo. Kiwandani soko lipo wazi kabisa na bei ni...
  4. N

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Mkuu soma vizuri uzi wa mdau utamuelewa. Watanzia tupo makundi mengi sana. Kuna watu ambao wapo vibaruani hata huo muda wa kupambana na hizo mbiringe za biashara huenda wasiwe nao lkn kuliko kusema wewe ni mwendo wa kupata kisha unapukutisha kila kitu sio sawa unaweza anza kuweka kidogo kidogo...
  5. N

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Mkuu wala huhitaji kujitetea sana. Kikubwa umeeleza vizuri sana. Bila shaka walionza kipindi unatoa huu uzi walishafika mbali sana. Nikiwemo mm.
  6. N

    Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Mkuu kwema. Nimesoma uzi wako. Na mm napitia wakati km wa wakwako. Upo wapi japo tubadilishane uzoefu kuona tunachomokaje mkuu wangu
  7. N

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Nataka fanya utafiti nikijiridhisha nianze mchakato japo kwa udogo wake. Nataka ikibidi niwapigie simu nione kama bado wananunua na terms zao zipoje? Nitakapowasikia na nikajiridhisha na mchakato basi niende kondoa machakani huko nako nikajifunze. Wadau mm ni msakatonge tuu nipo morogoro mjini...
  8. N

    Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

    Sio kwamba mzee wetu angewekeza mahala pengine bora zaidi angepata gawio bora zaidi? Mfano kwenye bond za serikali kama mdau alivyoeleza hapo juu.
  9. N

    Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Binafsi huwa nafanya kazi kulingana na ninacholipwa. Waajiri wengi wakuda sana unampimia kazi yake. Muda uliosalia natumia miundombinu yake kutekeleza mambo yangu. Over!
  10. N

    Kwa Kinachotokea US, Waafrika Tunajidanganya Sana kuhusu wazungu, Tusijidharau kiasi hicho

    Hapo Kuna mambo mengi ya kuchunguza mkuu. Kikubwa lazima ijulikane kwanini huyo polisi alifikia hatua hiyo. Nadhani hata hapa kwetu ni mara kadhaa polisi wamechapa watu lisasi. Lkn huwezi mtia askari matatani bila kujua kwanini alifikia uamuzi huo. Sema ni kwakuwa ss hatuna mqmbo ya weusi na...
  11. N

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na utani katika elimu

    Mkuu tatizo ni zoom au mtihani wanaoleta content haitoshi? Kwa uzoefu wangu oral exams ni ngumu kuliko written exams. Km content ipo poa mwanafunzi atakae toboa hapa atakuwa bora sana. Maana hairuhusu Vibomu hii.
  12. N

    Kuajiriwa ni utumwa hizi ndo sababu zilizonifanya nikaacha ualimu

    Hapa ss ndo changamoto ilipo. Niongope ili iweje. Usiwe na stress ndgu kuwa tayari kupokea changamoto. Ukiona inafaa zitumie km vp unapotezea tuu. Lkn mwarobaini wa maisha yako unao mwenyewe.
  13. N

    Kuajiriwa ni utumwa hizi ndo sababu zilizonifanya nikaacha ualimu

    Kiukweli haya maisha hayana formula kihivyo. Unaweza ukaajiriwa na ukatumia ajira yako kupiga mpunga. Mfano mzuri ni mm mwenyewe ajira yangu ina mshahara usiozidi laki 8 kama basic salalary baada ya makato na kimkopo nachukua kama 355,000/= hivi. Lakini huwezi amini kuna namna naitumia...
Back
Top Bottom