Recent content by ntaho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

    Nami leo nitie neno hapa,,,,katiba yetu haizungumzii mambo ya dini. Eti katika nafasi flani au uongozi swala la dini lizingatiwe wala ukanda wala ukabila. Haya mambo jamii yetu ikianza kuyazingatia tunapokwenda tunaenda kuligawa taifa. Mtu anayeona teuzi au ungozi wa nchi akaanza kugikiria...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    Rausi wetu aliona mbali sana. Alisema kuhusu fumigation watu wakasema baadae tukasikia WHO wakatoa kauli iliyoonesha kuunga mkono hoja ya raisi wetu. Leo hii tunasikia jilani nae anaamua kusitisha lockdown kabla ya ugonjwa kuisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

    Wako vizuri kwa sasa. Wakiweza kumaintain itakuwa poa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi haswa humfanya mtu kuwa na hamu ya kufanya mapenzi kila siku bila kupitisha siku

    Maana ya kuoa nikuwa uwe nayo karibu muda wowote ukihitaji unapata. Sasa ninyi wanaume ambao unashindwa kupiga mambo kila siku ndio ninyi mnaupungufu wa mnegu za kiume. Mm kila siku lazima nipate angalau kimoja jioni wakati wa kulala na asubuhi kabla sijaenda kazini. Na ukifika muda jamaa...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Ili stori iwe fupi jitaidi kuyokujibu mashambulizi yake ya maneno juu yako. Itafikia wakati atakosa jipya la kuzungumza ila ukijibu una mpa advantage
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mita za juu ya nguzo zipo za aina tofauti tofauti nankila mita ina namna yake ya kutatua matatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba yako inaaza na namba zipi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Tukutane 2020
Back
Top Bottom