Mambo mengine si ya kujisifu, huko ni kukosa uzalendo kwanini uhesabiwe mara tatu wakati wewe ni timamu ungeweza kuwaeleza kuwa umekwishahesabiwa. hukujua umuhimu wa jambo hili mbona kama mimi nilikuwa safari tena namove here and there lakini nilihesabiwa mara moja kwani wanangu niliwaelimisha...
Jamani wewe kapimwe damu hivi ni mtanzania kweli wewe au unacopy na kupest from Nchi za wenzenu zilizoendelea ambao huna kazi unapewa allowance ya kujikimu mpaka upate kazi nyingine Tje Tanzania hiyo ipo. Na je Tanzania uliona mtu anakuwa pensionable pasipo kuajiliwa ili mradi ni mzee tu basi...
Jamani kiukweli wale wote wanaopinga hoja hii hawaguswi au ndo vibaraka wenyewe wa SSRA kama sivyo ni kati mafisadi wanaokusanya pesa zetu. Sasa huyo anaposema pension anayopewa mtu haijalishi kama aliajilwa au hakuajiliwa inaaply wapi Tanzania. Tanzania ni lazima uajiriwe na ufanye kwa muda wa...
Ila kiukweli wabunge wetu wanatuangusha hawaoni mbali. kwa kuwa wengi tayari wamefikisha huo umri basi wanadhani kila mtu mzee kama wao. Wnapaswa kwenda na wakati na si kuturudisha walikotoka utakuta kibabu ama kibibi kizima kimepanga ati alikuwa anasubiri vimafao vya uzeeni ndo ajenge. Maisha...
Mi Akili yangu imegota hapa sasaa!ina maana kutakuwa na unemployment allowance kwa wale watakaokuwa wamesimamishwa kazi wakiwa katika kipindi hich cha mpito wakati wa kutafuta ajira mpya. maana kama tumecopy na kupest kutoka kwa wenzetu basi tucopy kila kitu si kutesa wananchi wafanyakazi kwa...
Katika taarifa ya habari ya leo sambili usiku TBC1 nimesikia Polisi wamezuia maandamano hayo. Hivi hii nchi imeuzwa kwa wababe mbona tunaongozwa kibabe namna hiyo. mi naona kuna haja ya kudai uhuru wa Tanganyika upya kabisa nahisi hatuko huru kabisaaaaa!
Hivi logic ya kuwa na mizani kila mkoa ni nini mi siajaelewa utakuta gari la masafa marefu tuseme kutoka songea to Dar haipakii njiani lakini inaingia kila mzani hiyo ni nini hasa au ndo calibration ya mizani yao hawaiamini eeeh!!!!! mnaojua nipe ufafanuzi wa hilo maana inanikera mnoo hiyo hali.
Nashukuru sana nitajitahidi nifanye kama ulivyonishauri japo nimeenda hospital nyingi ikiwa ni pamoja na muhimbili, regency n.k labda sijabahatika kukutana na mtaalam aliyebobea.
Mpendwa wangu sina mimba na tatizo hili limenianza tangu 2002 nimetembea hospitalim nyingi napimwa lakini bado sijapata tiba sahihi. zamani ilikuwa inavimba nakupungua baadaya ya wiki nilikuwa naweza kukaaa miezi kadhaa lakini sasa tatizo limekuwa kubwa ndani ya mwezi inweza kupungua siku mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.