Recent content by Nsumbanzunya

  1. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwanza wilaya gani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo serengeti mi nije sengerema niPM
  3. N

    JamiiForums Tanzania Afisa utumishi wa Halmashauri ya Ushetu amdhalilisha mfanyakazi kijinsia

    Chanzo cha taarifa tafadhali
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mwanza

    Natafuta kiwanja mwanza,maeneo ya kamanga (ng'ambo upande waSengerema.likipatikana hata shanba nachukua.Atakaekuwa tayari anicheki no 0783 881 828
  5. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo serengeti mi nije Sengerema idara s/msingi no 0783 881828
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sitasahau: Ubabe wa wanajeshi uliwatokea puani

    Dah! Lkn si ulipigwa?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Basi gani linatoka Dar na kwenda Magu moja kwa moja?

    Mohamed trans
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ungewauliza Nacte na hilo
  9. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Serengeti mjini mi nije Nyamagana-Mwanza au Ilemela-idara ya msingi kama uko tayari nichek 0783881828
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Walimu

    Ila kifupi ile nimeiona kama siasa tu kupumguza nguvu ya migomo ya walimu kwa kuweka madaraka makubwa kwaTSC kwa kuiondoa TSD na kuondoa lawama kubwa kwa serikali kwani serikali atabaki kama mwajiri na TSC kuwa na mamlaka makubwa kwa walim hivyo zile za kuandamana kwa mkurugenzi zitakuwa hazipo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Walimu

    Moja ya vitu ambavyo serikari ya awamu ya nne imemaliza navyo ni kuunda Tume ya Utumishi ya Walimu lengo kuu ni kutatua matatizo ya walimu na kuunda sheria na kanuni za utumishi katika kada ya ualimu. Lakini yote kwa yote sijapata kuielewa matumizi ya tume hii na kivipi itamaliza matatizo ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Liverpool TV na Real Madrid TV kwenye king'amuzi cha Azam

    Siku wakiweka MUTV nisitueni ninunue na mimi maana hizo walaaaa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bob Marley's 10 Greatest Protest Songs That Still Ring True Today

    The best ryme comes on the best time Jah Rasta farieeeeeeeeeeeeeeee
  14. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kama unasubiri kuajiriwa

    Kama unasubiri kuajiriwa sekta ya ualimu jiandae kwa mambo haya;- 1.kupata pesa ya kujikimu pindi unapolipoti kituoni(wilayani) 2.Kupangwa mazingira ya vijijini sana ambayo hata usafiri na huduma nyingine za msingi ni za kususua 3.Watoto wa kike kutongozwa na maafisa kwa ahadi ya kupangwa...
Back
Top Bottom