Recent content by Nsumba-ntale

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Tokea jana alielekea Dubai huku nyuma akiacha mjadala wenye tuhuma ndaniye Hoja, kwa nini huyo ndugu Mamlaka zilimruhusu asafiri kuelekea Dubai na siyo awasilishe hoja ya Yuda kwa Mamlaka za ki uchunguzi?! Kwa nini amefikia kwenye nyumba ya mmoja ya watoto wa wenye Mamlaka kuu hapa nchini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Duru: January Makamba kuteuliwa Balozi

    Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, ningemwomba Lissu turidhiane kwa dhati na anisamehe

    Naamini wakizungumza vizuri na kwa kutendeana haki, hakutakuwa na mkwamo wowote ndugu yangu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, ningemwomba Lissu turidhiane kwa dhati na anisamehe

    Moderator, isomeke maridhiano na siyo malidhiano
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, ningemwomba Lissu turidhiane kwa dhati na anisamehe

    Suluhu pekee ya amani ya moyo ki siasa kwa mheshimiwa Rais Samia, ni aamue aridhiane na Tundu Lisu kwa dhati kabisa na wakae meza moja wazungumze Lisu kuendelea kukaa Mahabusu, ni hasara zaidi kwa Rais Samia kuliko awe huru/nje Kama Taifa, pamoja na dhahania yetu eti tunaweza kuwa sisi bila...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

    Mda ni Mwalimu!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafiki 2030 akiwa Waziri Mkuu

    Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure! Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya kwa Mbowe hakumsaidii chochote, zaidi ya kumtambulisha ni mtu wa kununa

    Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa Unawezaje kuwanunia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ki-masihala, Mange na wenzake wanaweza kuangusha mbuyu!

    Ukiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea Wanao sababisha viashiria hivyo kumea ni Mange, Maria na wenzao wasio choka kushirikisha taarifa ima hasi ama chanya zihusuzo matukio...
  11. N

    JamiiForums Tanzania IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

    IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema "Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Unajidai upo huru, ajabu unalilia usiwekewe vikwazo?!

    Tanzania ni Nchi huru na isiyoweza kuingiliwa na Nchi nyingine kwenye masuala yake ya ndani. Sasa, kwa nini tunawa-bembeleza waa-Amerika wasituwekee vikwazo? Kwa nini tusiwapuuze waa-Amerika kwa takwa na nia yao ya kutaka kutuwekea vikwazo ambavyo kama Nchi huru, havitatupa athali yeyote...
  13. N

    JamiiForums Tanzania "Who are you" itamgharimu sana Rais Samia kidiplomasia

    Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
Back
Top Bottom