Recent content by nsubisi2001

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kwa mkataba mbovu wa Tanzania liquefied natural gas project kwa miaka 30 ijayo hatutakuwa na gesi

    Niwakati sasa serikali iwe inaweka wazi haya masuala ya mikataba, haifurahishi kabisa kuendelea kuwa masikini kama taifa huku rasilimali za nchi zikivunwa na kutajirisha nchi zingine.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanahabari 10 ambao hawana shaka juu ya taaluma yao na unafiki wa kujipendekeza

    Yuko mwingine anaitwa Pascal Mayega kama sijakosea jina lake,yuko vizuri sana.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote linalohusiana na TRA customs aniulize

    Utaratibu wa Ku-exbond mizigo tofauti iliyoingizwa bond na entry mbili tofauti katika entry moja
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 alizomuahidi Dk. Shein angezitumia hivi

    Hakika umenena vema,. wala sivema akashupaza shingo.. Inampasa sasa kuzitumia vema hizi dakika tano.
  5. N

    JamiiForums Tanzania T.B. JOSHUA Alitabiri Kupotea kwa Ndege ya Malaysia

    Imekaa vizuri mkuu!
  6. N

    JamiiForums Tanzania End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Dalili tutaziona sana..ila siku na saa vimebaki siri yake.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mdee amshukia Waziri Tibaijuka mgogoro wa ardhi

    Niliposikia waziri kaingia kwenye gari la mwekezaji tu,..haraka nikajua wananchi hawana chao tena.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

    Wanamuogopa,hawampendi!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

    Tutawachapa vizuri tu..hata wakiungana na Sudan kusini,tutawachapa tu!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kenya ilihairisha kuivamia Tz kijeshi mwaka 1984??

    Nihabari za kweli, mkiwapata wapiganaji wetu wa zamani watawasimulia haya.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Wanatakiwa wote wang'oke..
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 5, Kakonko, Kigoma

    “Tanzania, Kigoma, Kakonko bila Zitto haiwezekani; Mhe. Slaa, Mhe. Mbowe wote wajiuzulu mara moja; Hatuko tayari kusikiliza lolote bila Zitto.” Wamevurugwa hawa....
Back
Top Bottom