Mwenye swali lolote linalohusiana na TRA customs aniulize

Mwenye swali lolote linalohusiana na TRA customs aniulize

kyamtagata

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
56
Reaction score
26
Ndugu Wanajamvi

Mimi ni mtaalamu aliyebobea katika taratibu za forodha(Customs procedures). Ni msomi wa sheria za kodi kutoka vyuo mbalimbali vya kodi IFM na ITA. Ni mzoefu katika shughuli za Customs clearance(clearing and forwarding) kwa zaidi ya miaka 20. Nina uzoefu wa utoaji mizigo bandarini, mipakani, airports, bonded warehouses, dry ports na abandoned goods.

Yeyote anayetaka kujua chochote kilichopo katika tasnia hii aniulize tafadhari na nitamjibu haraka iwezekanavyo.

Gharama.....ni bure.
 
Bei halisi ya kufanya clearing mzigo katika entry moja japo kutakuwa na magari matano yaliyobeba mzigo
 
Adhabu ya kampuni kutokufanya annual return au kutunza kumbukumbu za hesabu.....ni ipi?
 
Utaratibu wa Ku-exbond mizigo tofauti iliyoingizwa bond na entry mbili tofauti katika entry moja
 
Nawezaje kuangalia kama gari inadaiwa road license bila kufika T. R. A
 
Ndugu Wanajamvi

Mimi ni mtaalamu aliyebobea katika taratibu za forodha(Customs procedures). Ni msomi wa sheria za kodi kutoka vyuo mbalimbali vya kodi IFM na ITA. Ni mzoefu katika shughuli za Customs clearance(clearing and forwarding) kwa zaidi ya miaka 20. Nina uzoefu wa utoaji mizigo bandarini, mipakani, airports, bonded warehouses, dry ports na abandoned goods.

Yeyote anayetaka kujua chochote kilichopo katika tasnia hii aniulize tafadhari na nitamjibu haraka iwezekanavyo.

Gharama.....ni bure.
Wewe mbonelahi si unatafutwa huko ukajibu maswali?
 
Kwanini ukiingiza gari toka Zanzibar kuja Tanganyika unalipa tena sehemu ya ushuru?
Viwango vya ushuru vya bara na znz ni tofauti. Mara nyingi ukiingiza gari znz unalipa nusu ya kiwango cha bara. Sasa kama gari unalipeleka bara ile nusu iliobaki lazima ilipwe
 
Mwenzenu anafanya research kaweka vitu mmejaa maxima ashapata anachotaka nenden Tra tu
 
TRA wanatumia vigezo gani kuchaji mizogo inayoingia kutoka nchi za Africa Mashariki?
 
Back
Top Bottom