yaani ajira za bongo hazina maana kabisa tena serikali ndo upuuzi mtupu,unaweza kuitwa kwenye interview kumbe watu walishapatikana yaani wanafanya kama formality,utakuta wakubwa wameshapitisha vimemo na watu wameshapata kazi.Mfano hai kuna jamaa nafanya naye kazi hapa wizara ya afya,huwezi amini...