Recent content by nshimbah

  1. N

    Mimi ni bikra lakini

    Kuwa na msimamo huo huo .huyo ni muhalibifu.hucmpe mpaka siku ya honey moon
  2. N

    Mrembo anatafuta mchumba .

    Sifa moja tuu?? Sasa itakuaje sisi wtt wa Dr Rem?? Duuh hii noma dada.Nna sifa zote lkn sura langu baya :thumbup::thumbup:
  3. N

    Upako Toka Kuzimu...

    Tupendane kama watoto wa baba mmoja Ibrahim .sisi zote ni ndugu na mama yetu Africa.tupendane kwa tofauti zenu.hatuwezi kuwa wote tunafanana .na hata gari lina vifaa tofauti lkn yote vinashirikiana na kufanya kitu kimoja.engine ina kazi yake .matairi yanakazi yake.breki nayo .hivi yote ni vifaa...
  4. N

    Upako Toka Kuzimu...

    hacha hizo ally kombo?? lakini nyinyi kuahidiwa kuwalala wanawake 70 ni nini kama c Uzinzi na usherati?? na ulevi wa kupindukia ??kwenye ile mito ya pombe??kule peponi mlipoaidiwa??wanapoishi mapepo?? maana ukisema uswahilini nikule wanapoishi waswahili.na uzunguni ni kule wanapoishi wazungu.but...
  5. N

    Sakata la EAC: Watanzania tuache Political Mobilization, Tufanye Economic Calculations

    hivi nyinyi mbona hamsomeki ,andika kwa lugha ya Taifa.kuweka kingereza haimaanishi umesoma .sisi ni watanzania na lugha yetu ni kiswahili.na andika kwa kiswahili ili watu wote wakuelewe sana mkuu.tusiwe na desturi ya kitumwa mkuu
  6. N

    FAMILIA YANGU HIYO JAMANI MUNASEMAJe??????????

    nice family.u make me 2 cry .i miss my 0,5 children and their white mama .
  7. N

    Kijana anaswa Chumbani na Mpenzi ambaye ni Bibi Kizee...!!!

    we acha ujinga prince kelvin.bibi anahaki ya kibinadam kuwa na mpenzi pia hamad c mtoto mdogo .pia bibi anajickia kama mwanamke yoyote na kama ana kula vizuri na afya njema kwa nini asiwe na mpenzi??hamad endelea na mpz wako hiyo ni haki yako kumpenda bibi .mpe mapenzi ajickie naye ni mwanamke...
  8. N

    Toyata Noah 1999 model for sale

    nipe email yako au namba ya cmu kama upo kwenye whataap nikutumie .nimejaribu kuweka picha imeshindikana .natumia cmu .cjui njinsi ya kuweka kwenye mtandao kutumia cmu
  9. N

    Toyata Noah 1999 model for sale

    Ipo kwenye hali zuri sana .automatic gear.petrol engine price 8.5mil maelewano yapo .for more information contact 0713959290
  10. N

    Nnahitaji Gari, Bajeti yangu ni 5M maximum 5.5 M.

    ipo toyota vitz 1999 .ipo fresh imenyooka mkuu 0713959290
  11. N

    Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Acha kumbaka mke mkuu. Husifanye mapenzi ya jogoo, muandaye mke kabla ya kumuhingilia
  12. N

    Natafuta desktop

    ipo chini mkuu .ongeza upate desktop nzuri zaidi
  13. N

    Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Kama mwanamke hajaandaliwa vizuri au hayupo tayari kusex .pia inachangia mzongamano wa mawazo na ugumu wa maisha ya kila .inatakiwa mwanamke alilax na awe tayari kwa tendo. Pia kuna baadhi ya magonjwa yanachangia hali hiyo .kwa ujumla zipo sababu nyingi sana.inabidii kumhona doctor kwanza.
  14. N

    toyota land cruise vx inauzw

    nipe email yangu au kama whatap nikutumie.nimejaribu kuuplord picture imeshindika kwa njia ya cmu
Back
Top Bottom