Recent content by NSENGONY

  1. N

    Inawezekana kumpenda shemeji kimapenzi?

    :majani7::glasses-nerdy::nimekataa:confused: acha mawazo ya ajabu, we kama wampenda mtu kimpango wako. Siono sababu ya kuuliza swali hilo
  2. N

    Mjadala: Jk alijiandaa kuwa rais au kufikia ndoto ya kuwa rais?

    :juggle: Hapa yaonyesha nawe wataka kuonekana mwema kwa huyu jamaa, sio hivyo tu ila huelewi ni nini unachokizungumzia. huyu jama hana jipya lolote kwenye uongozi wake zaidi ya kucheka ili kukusanya idadi ya wanawake:A S 465:
  3. N

    Kidonda kwenye kichwa cha uume inasababishwa na nini?

    :juggle: ACHENI KUULIZA MASWALI YA KIHUNI KWENYE BLOGS, LENGO LA HIZI BLOGS SII KAMA MNAVYOZITUMIA OKEY?:A S 465:
  4. N

    Natafuta rafiki wa kuchati naye

    :juggle: we acha ujinga mtu mzima, Huna kazi za kufanya hadi uanze kuchat kwenye blogs. Jifunze hata kusoma gazeti utaona chenye maana zaidi ya kuchat na wasichana. UJINGA HUO, ACHAAAAAAAAAAAAAAA KABISA. :A S 465:
Back
Top Bottom