Pole sana usikate tamaa sababu ya mateso na chuki za binadamu kila kitu kina mwanzo na mwisho ipo siku furaha yako itarudi na kusahau shida na mateso uliyopitia.
Nadhani bado Ana kitu kinachomsumbua katika akili yake.... Ni Dr ambae anatuona sie wanyonge hatuna maana kuulizwa tukipotea...? Hawa watu wamejipa U-Mungu mtu Sana.
Hili la MO kila mwenye akili timamu lazima limguse ukiona mtu analeta habari za siasa huyo ni wakuogopa kama ukoma,MO angelikuwa ni baba yako au kaka yako mngeongea huu ujinga kweli? Watanzania lazima tuungane kwenye hili hii serikali yetu hata maombi Kwa watu wanaokutwa Na maswahibu hawataki...
Kigwangala hakutumia akili katika sakata hili hata kidogo alishindwa kukaa chini na waziri husika before compress ake au ndo kukurupuka.? Matokeo yake anatoa amri ya siku 7 la sivyo anatia kitumbua cha Nchemba mchanga maigizo ya kigwa yanatia kichefuchefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.