Recent content by nowme

  1. N

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.samahani kwa hilo,sidhani kama kumiliki fridge,pasi ya umeme heater na feni ni kuwa na kipato kikubwa,kaa ufikirie mara mbili halafu utuambie kama kupamda kwa umeme ni kawaida.
  2. N

    Waandishi jaribuni kuwa sahihi.

    Kuna mambo mengi sana ktk uandishi wengine wanaandika ili gazeti lipate wateja,wengine hawajui matumizi ya maneno ya kiswahili,kustaafu,kustaafishwa, kujihudhuru na kutenguliwa kwa kitu au mtu ni maneno yenye maana tofauti kabisa,wawe wanasoma kamusi ya kiswahili kwanza kabla ya kuandika mada
  3. N

    Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

    Ok pamoja na mama yako na mpenzi wako na mama mkwe wako na bibi zako wote ni MBWA
  4. N

    Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

    Tena unakuta mtu amepewa lift anajua kabisa jamaa anamke halafu yeye anaenda kukaa kwenye kiti cha mbele inakela sana mi sipendi kabisa hii tabia wanawake tubadilike
  5. N

    Jina la mtoto wa kike linaloanzia na herufi "C"

    In addition Christabella meaning mkristu mzuri
  6. N

    Hypocrite Kenyans to repatriate somalians

    You are a bastard don't call others nastard I think you are not a tanzania
  7. N

    Nifanyeje nipate gpa nzuri

    Hebu acheni utahila kama mtu huna cha kumshauri mtu muache apate ushauri mzuri siyo kuropikaropoka tu,meenzenu yuko siliazi kuomba ushauri halafu mjitu mingine inatema pumba tu.
  8. N

    Ona mwenyewe

    Siyo akili yake haina akili huyo hana akili kabisa yaani anachezea watoto wakati kunawatu wanashinda hospital wakitafuta watoto.
  9. N

    Baba wa Mtoto Niliyemsomesha, ataka rudisha Fadhila.

    Tatizo la wasichana wengine ndo hilo inaonesha ni jinsi gani unavyopenda hela na unaweza kuuza utu wako kwa pesa ridhika na ulichonacho asingetokea huyo baba aisha ungezipata wapi? Think about it
  10. N

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    I dont think kwamba huyu katibu mkuu amekusanya maoni kwa wanataaluma,sidhani kama kunamwataaluma anaekubaliana na kupamba madaraja eti daraja la tano kwani inatofauti gani na daraja sifuri, hapa kunamkono wa wanasiasa ili wapate cha kujivunia kwenye uchaguzi 2015 eti tumeboresha elimu uongo...
  11. N

    Makinda: Mishahara ya wabunge ni midogo, wanakuwa hoi wakimaliza ubunge

    Kwa lipi waongezewe mshahara! ule upuuzi wakupigana bungeni au wanapofumbia macho masuala ya maana na kujadili upuuzi eti kisa uccm na ucdm,huyu mama nahisi anataka kusitaafu vibaya au ndo anapalilia ongezeko la kiinua mgogo cha wabunge kwavile yuko kwenye mchakato wa kusitaafu siasa?
  12. N

    Je ni kweli ndg. Mulugo (n/waziri wa elimu )kasema haya?

    Jk kazi kwake na hao mawaziri wake ila kazi kwetu sisi na elimu yetu maana nahisi tunadidimizwa kielimu kama waziri hajui hata scale za mshahara zinavyopangwa makubwa.
  13. N

    Yanga ingeshinda leo Nape na WanaCCM wote wangejifanya Yanga leo

    Unaona ee! Utaila tu hata kwenye mambo ya mhimu,hivi kila sehemu mkitanguliza siasa tutafika kweli.kombe la duniani tutaishia kusindikiza tu,siasa upuuzi mkubwa
  14. N

    Magufuli akomaa na wenye Malori

    Umeona ee,kwanini watanzania tusimsuport magufuri,ukiachana na barabara ya mandela hebu angaria barabara ya morogoro(morogoro road) maeneo ya kukaribia chalinze utaona ni nini anachokipigania magufuri
  15. N

    Mke wa mtu anataka nizae nae

    Huna adabu na huyo hawala yako nae taila nini maana ya kuchakachuana is it true unampenda mpenzi wako halafu useme mnachakachuana? Na kaa ukujua ipo siku hata shetani atakukataa utajuta kumjua mke wa mtu shetani wewr
Back
Top Bottom