Recent content by notmar

  1. notmar

    Waislamu waitikia kauli ya Lowassa, waijia juu serikali kuhusu mashehe wa uamsho

    Jenerali siadd barre aliyekuwa mtawala wa somalia ambaye aliua masheikh zaidi ya 12 kwa Siku moja yuko wapi? na firauni wa misri aliyewatesa bani israil na kusema yeye ni mungu mkuu alifika wapi?
  2. notmar

    Rais anapotembelea ofisi mbalimbali

    sasa kama unataka nikujibu vizuri mbona unaniuliza mbele ya kamera halafu kabla sijajibu unajibu wewe halafu unauliza tena? nitakudanganya tu kwani hakuna namna!
  3. notmar

    Kikwete atembelea City Hall, apewa barabara

    sidhani kama kuna faida yoyote kumtukana baba yako mbele ya watu kisa ugali hautoshi wakati ww ni mtu mzima .huu muda woote unaotumia kumtukana hapa na muda mwingine unapoteza kwenye facebook na whatsap unatosha sana kujishughulisha ili angalau upate rizki
  4. notmar

    Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

    YAYA TOURE alipofiwa na kaka yake wakati wa mechi za kombe la dunia 2014 hakurudi ivory coast nyumbani kumzika kwa sababu sheria za kombe la dunia haziruhusu.tuwe fair rais hawezi kuhudhuria kila msiba by the way makamu wa rais alikuwepo
  5. notmar

    Serikali kwanini isiseme ukweli kama wameuza Loliondo kwa waarabu wa Dubai?

    :flame:nakushauri na wewe uende huko ukauze tigo kwasababu naona uwepo wao hapa nchini umekufanya uwashwe sana .fanya haraka broo.KULE NI KAZI TU....
  6. notmar

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    propaganda hii imetumika sana chaguzi zilizopita.sidhani kama mwaka huu ina nafasi katika siasa za kisasa ambapo majority ya wapiga kura wanajua nini wanachotaka.
  7. notmar

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    hizi ni tafiti za wajasiria uchaguzi.REDET walitumika sana kumfagilia njia kikwete mwaka 2005 na kutokana na kazi yao nzuri bosi wao prof.mukandara akazawadiwa cheo kikubwa chuo kikuu cha dar es salaam.mwaka huu mwendo ni huohuo kuna watu wanafanya utafiti kwa ahadi za ubalozi ukuu wa wilaya...
  8. notmar

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    hizi ni tafiti za wajasiria uchaguzi.REDET walitumika sana kumfagilia njia kikwete mwaka 2005 na kutokana na kazi yao nzuri bosi wao prof.mukandara akazawadiwa cheo kikubwa chuo kikuu cha dar es salaam.mwaka huu mwendo ni huohuo kuna watu wanafanya utafiti kwa ahadi za ubalozi ukuu wa wilaya...
  9. notmar

    Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    hilo star tv limezidi sana kumchafua mgombea wa ukawa.wana ukawa mliopo mwanza hebu litieni adabu......
  10. notmar

    Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    nimesikitishwa sana na comment yako.Huna haja ya kumtukana TIDO kwa sababu tu atafanya mahojiano na mtu ambaye ametofautiana na chama chako.unaonekana kwamba wewe ni LAYMAN katika masuala ya demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari.
  11. notmar

    Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    mtafufua vitu vingi sana mwaka huu..kama vipi mfufueni na komba aje awasaidie kwenye kampeni.kushindwa kubaya.....
  12. notmar

    NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

    ndorrrrrobo wewe si bora uchukue hilo gazeti la uhuru ujipepeeee?
  13. notmar

    Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

    The last nail on the green coffin.rip chama cha mapinduzi
  14. notmar

    Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

    think twice before you comment.
Back
Top Bottom