NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni 😛eace:

RIP CCM 2015

=================================



Chanzo: habarileo

Kaondoka slaa na le profeselii sembuse mkaidi ,#ccmlazimaing 'oke
 
Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni 😛eace:

RIP CCM 2015

=================================



Chanzo: habarileo
NLD ndiyo nini? UKAWA ni Muungano wa hiari sio wa kisheria kama unayaweza peke yako si ujitoe? ametoka Slaa na Lipumba sembuse NLD.
 
Kwani mwandishi wa GAZETI LA UHURU si alijeruhiwa na FENI ya PANGABOY pale makao makuu ya CUF? au keshapona?
 
Kati ya magazeti ambayo sina muda nayo ni habari Leo na Uhuru! Hawaandiki cha maana! Yanafaa kufutia vioo vya magari na kufungia vitumbua
 
mwanahalisi lilifungiwa na fenera mkangara waziri wa habari utamaduni,kwa madai kwamba ni gazeti linalo andika uchochezi,
sasa najiuliza huyu waziri hili gazeti la uhuru halioni?
au ni kwa sababu ni gazeti la chama.
 
Lakini mimi nafikiri, siyo afya Dr Makaidi apewe Jimbo halafu lingine apewe mke wake. Na katika teuzi zetu kwa nafasi za viti maalum wanawake, hili suala la kupeana Ubunge mtu na mke wake, mtu na dada yake, haijengi Chadema au UKAWA, linatubomoa. Nashauri viongozi tulizingatie hili.
 
Dr. Makaidi yupo kwenye misafara ya kumtambulisha Lowassa. Hilo ni gazeti la CCM.
 
ndorrrrrobo wewe si bora uchukue hilo gazeti la uhuru ujipepeeee?
 
Back
Top Bottom