Hello members. Naombeni mnisaidie satelite , transponder na frequencies recent za startimes maana nataka ni install receiver mpg4 ya star x _x2 plus ila nashindwa.
Nina tumia azam ila naona usumbufu kibao. Naomb mnisaidie namna ya kuiset hii star x x2 plus. Hasa nitumie satellite IPI na frequency ngp, najua wataalam mnajua. Karibuni.
Nina tumia azam ila naona usumbufu kibao. Naomb mnisaidie namna ya kuiset hii star x x2 plus. Hasa nitumie satellite IPI na frequency ngp, najua wataalam mnajua. Karibuni.
Ee bhn nimekupata vyema. Kwnz kukumbushia kwake ni ishara ya maumivu lakn pia imani yake imeisha kwako. Kama unampenda kwa dhati kabx na unapenda awe mkeo nakuomba umtengenezee mazingira ya yeye kusahau hilo ulilolifanya. Cha kufanya ni kuwa karb nae hasa na akikumbushia urudie kuomba radhi na...
Mkuu embu elezea vizur ulimcheat kias cha kulala na mwngn na yeye akajua au hajacomferm ila kaona mawasiliano yako na huyo mchepuko yenye kudhihirisha kuwa umemmega..
Kibongomkuti ni kwamba kesi ilivyofika mahakamani waliifanya iwe jinai yaani 'kula njama kununua ardhi ya familia" kisa wanadai muuzaji ni kichaa. Contradiction ni kwamba huyu muuzaji hajaanzia kwangu kuuza bali alishauzia kwingine from the same farm mbaya zaidi mlalamikaji akiwa witnesser...
Mimi home ni Manyara lakini kwa sasa niko hapa UDSM (mlimani) namalizia mwaka wa tatu. Yote hayo yalifanyika mm nikiwa chuo. It was too painful to my relatives. Na isitoshe ninakumbuka muuzaji alinikuta home wakati akinadi plot yake.
Mimi nasoma chuo kikuu hapa Tanzania. Mwaka jana mwezi wa tisa nilinunua plot lakini niliporudi chuo ndugu zake na muuzaji ambao ni wa kike walienda mahakamani wakidai mimi na mwenyekiti wa mtaa aliyeandikisha hayo makubaliano yetu eti tumekula njama ya kuuza ardhi ya familia wakidai eti muuzaji...
Jamani mm nahc ni kupotea kwa uelekeo endapo unatafuta mtu wa kuoa au kuolewa kwenye mitandao; watu wanafikiri kuoa au kuolewa ni just kuwa na mtu, for me that is not enough we need to look even beyond that like the behaviour of the object, morphology, ukoo, and even personal hygiene. Ni mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.