Recent content by NOSWEAT

  1. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Subiri ligi ianze utapata majibu
  2. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

    Tatizo pesa tuendelee kuchangia
  3. NOSWEAT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyedhani kwake sichomoi, nilivyo mpiga na kitu kizito

    [emoji3533][emoji3533][emoji3533]
  4. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Wamegeukana hapo itakuwa mbuga nzima imeshasafirishwa
  5. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

    Pesa hamtoi mnabaki kushamgaa na kilalamika tu
  6. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Hongereni GSM kwa kuweza kuwanunua Simba match ya leo

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya klabu yangu ya Yanga

    Iwe pungufu ama kuwepo na mgogoro na baadhi ya wachezaji na kuchukua mlungura vinginevyo Simba kumfunga Yanga ni kazi mno Kama alivyotabiri kaduguda
  8. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya klabu yangu ya Yanga

    Kati ya mechi nne msimu huu zilizokutana Simba na Yanga . Yanga kashinda mbili droo 2 Kati ya hizo mechi tatu walicheza hao wachezaji wako unaowategemea na hatukuona maajabu yoyote
  9. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Kawekeze pale Simba SC naona mambo si mambo kabisa kwasisi Mashabiki wake
  10. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Tujipe pole wana-Simba

    Kocha la Real Madrid
  11. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Hiyo sayansi nimeikubali kufa kufaana hata JPM naye ameenda wengine wanafaidika wanafaidika na yake
  12. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

    Labda awe Rais wa kikoba
  13. NOSWEAT

    JamiiForums Tanzania Chiko Ushindi sio mbovu kama tunavyoaminishana

    Wengi wameanza kumuona Cihico Ushindi Hapa Tanzania tunayemfahamu tunasema kapigwa misumari huyo ni winga mzuri sana
Back
Top Bottom