Recent content by nosnhjo

  1. nosnhjo

    Msaada: Nikiwasha Data tu, simu inajizima yenyewe

    mkuu tatizo betri.. badilisha betri utaonaa
  2. nosnhjo

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nenda kwneye Cellular data Halafu Cellular data network halafu Unashuka mpaka kwenye personal hotspot Weka settings km inavyoonekana hapo
  3. nosnhjo

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Add 0654 029 220
  4. nosnhjo

    King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

    hii kitu vipi bado inafanya kazi?
  5. nosnhjo

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa...
  6. nosnhjo

    Internet cafe ya Msasani wanatoza sh.ngapi kwa kumsaidia mtu kuomba visa ya USA.

    Mwambie aende YMCA pale posta kuna internet cafe mle ndani kuna mtu utamkuta pale cafe ukimwambia atakusaidia... Ndiyo wanahusika na shughuli hizo..
Back
Top Bottom