Recent content by Northpole

  1. Northpole

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    In short wewe sio mzazi smart bali ni bora mzazi na una mentality za dark ages.
  2. Northpole

    JamiiForums Tanzania Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

    Tafuta hela kwa bidii afu tafuta pisi kali kuliko yeye uiweke kuwa mke wa pili.
  3. Northpole

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Kama wewe ulishindwa kuhandle pesa zako ni wewe, usigenerelize.
  4. Northpole

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Una uhakika gani ana warithi na kama anao umejuaje anataka kuwaachia urithi wa fedha. Hicho kikokotoo kwanini hakiwahusu wabunge na mawaziri au wenyewe wanaishi milele
  5. Northpole

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kikokotoo cha mafao ya kustaafu

    Msilete huruma hewa. Watu wapewe fedha zao zote. Atakaechezea ataishi kama wazee wengine ambao hawakuwaikuwa kwenye mfumo wa ajira.
  6. Northpole

    JamiiForums Tanzania Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Madhara ya kuwa na mwanamke mmoja.
  7. Northpole

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Kuweka karibu milioni 100 kwenye fxed account na kuishia kupata milion 7 kwa mwaka ni uvivu ama uoga wa kuwekeza hiyo pesa. Kuna mizunguko ukiiweka hiyo milioni 100 kwa mwaka unakua umefunga milioni 300+. Kujenga nyumba ya kupangisha ni biashara za wastaafu na waoga wa kuchukua risk.
  8. Northpole

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Ubora wa chakula unapimwa kwa kuweza kuliwa na wagonjwa?
  9. Northpole

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Kazi za kuchosha mwili na akili kwa maslahi ya dàgaa watu wameshaachana nazo, hakuna mtu anayekataa kazi ikiwa na maslahi. Tatizo mnaotoa kazi mnapenda kunyonya watu kwa kisingizio unafundisha kazi na blahblah zingine za kinyonyaji.
  10. Northpole

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Overproduction; Where do we Go From Here..... (A Chinese Case Study)

    Soko la bidhaa za china ni kubwa sana especially ulimwengu wa tatu, hiyo overproduction ya china ni propaganda za west
  11. Northpole

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa Uturuki tusiwe mazombi jamani

    Nyie kila siku kujifunza kwa wengine, ni lini wengine watajifunza kwenu? Nina uhakika hata hizo akili za kujifunza hamna.
  12. Northpole

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    Watumishi 80% ni wezi, wazembe , wanafiki, waoga ndo maana nchi haipigi hatua. Kwa sifa zao hizo hata hiyo 33% wasipewe .
  13. Northpole

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba serikali utatuzi wa changamoto ya Daraja Lililopo Tabata Mwananchi/Kisiwani

    Ifikie mahali watanzani tuache kulialia na kauli za tunaiomba serikali ili hali Serikali iliyopo imeshindwa kuongoza nchi alafu tena unaendelea kuiomba. Muhimu tuje na mbadala mwingine wa kuweza kutatua matatizo yetu ya ujinga na umaskini.
Back
Top Bottom