Recent content by Northpaw

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua English medium pre and primary school sehemu nilipo zipo 6

    Mrejesho mkuu.. hatua kias gani umepiga?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Basi nikuombe tumshauri jamaa kwa pamoja (Wewe kama mtaalamu mziefu, mimi kama mjaaikiamali/biashara na wengine wajumbe) ili afanikiwe au akumbane na uhakisia… Ushauri wangu ni huu 1. ondoa shaka 30M inatosha (ila kuwa na mikakati) 2. Iendee pharmacy yako kwa awamu yaani hivi -Pata jengo zuri...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Ndio nilianza ivyo lkn nilienda kwa hatua 1. Ilikuwa Dldm jumla na rejareja 2. Baada ya mwaka nika upgrade kuwa pharmacy ya rejareja 3. Miaka miwili mbele ikawa ni whole & retail
  4. N

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Inabidi tujikubali tu na tukubali kuwa tumechelewa sana kama taifa (Kawombe) lkn kazima tusonge mbele.. unaongelea Kenya na Rwanda😂 Imargine tuna akina wewe wataalamu na waziefu wa miaka 8+ kwenye field tajwa…
  5. N

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Watu wa hivi wapuuze sana!! Usikubali kukatishwa tamaa kirahisi!! Naongea kwa uzoefu kabisa, Niliwahi ambiwa hivihivi na mfamasia niliyeenda kumwomba ushauri kuhusu kufungua pharmacy back then 2014.. miaka michache baadaye akikuja kumwombea kazi mdogowake pharm tech😂. Chukua tu maoni ya wanao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Dawa hizo unazoita za kubeba kwa boda kwamba ni kidogo zinaweza kuua kijiji kizima kwa Over dosing… Nipo kwenye fied hizo zote mbili kwa over 10yrs sasa mtaji unatosha tena kufanya / kuanza mambo yote mawili mchawi ni location tu.. tena hata mm pia sipo golini kabisaa na mambo yanakimbia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huduma ya uhakika: Usafirishaji Dar kwenda mikoani

    Ghsrama ipoje safirisha 10t Songea Dodoma pia Songea Dar
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tujuzane bei za mazao mbalimbali – wakulima, wafanyabiashara na walaji karibu!

    Vibali vya kununua na kusafirisha taratibu zipoje mkuuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nataka nikope benki niwekeze UTT

    Nikama UTT imetereza mwezi uliopita ususani Bond. Wenye Acc zenu chungulieni
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umegegeda Wanawake wengi wenye jina lipi?

    Sio nchi zote
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu fixed account

  12. N

    JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi wa nyufa katika majengo

    Mimi kwangu paa linavuja ajabu… limefanyiwa marekebisho mara kadhaa na baadaye kuoauliwa tena lkn zote zimekuwa suluhu za muda mfupi.. Mvua ya mwaka huu ilikiwa yetu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

    Kwakufanya ivyo unatatua tatizo ambalo lingekuganda hadi ungetamani kuhama.. vikundi vingi ni uhuni tu.. sishauri mtu kujiunga na kikundi chenye Agenda ndeeefu.. hapo ni mradi wa wanao ratibu hicho kikundi.. Lkn kwa kuwa binadamu ni kiumbe wa kijamii jumuika kwenye mazoez dk30-60 kila mtu na...
Back
Top Bottom