Recent content by NORTH GOLD MINE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya AC, feni & Air Cooler?

    [emoji23][emoji23][emoji23] . controller bana , umetisha kwamba mwili upewe starehe inayotakiwa [emoji122][emoji122][emoji122]
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu wa ajabu sana, jana kang'ang'ana kwenda kwao nimempa Nauli, leo anataka kurudi

    [emoji23][emoji23][emoji23] Anakuona Kama ATM , hajui January hii inabidi matumizi yapunguzwe kwa Kasi ya 4G kucover gharama za masikukuu, kodi ,
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda kiwanda Cha Urafiki, hapo Shekilango
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tsh milioni 60 shwaaa zikapotea!

    Sasa mzee miaka 7 umekaa Kitaa kivipi tena , wakati kiongozi hata miaka 2 hajamaliza bado
  5. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Hawataki watu waenjoy , Hawa jamaa ndio wabepari sasa
  6. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Hatari saana
  7. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    [emoji23][emoji23][emoji23] ndg sometime mishe zinakuwa zinashake shake Mr
  8. N

    JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Shida ya SUMA JKT NI moja tu Kama shida iliyopo kwa majobless wengi, Dreams are Just like Water vapours, Unaandaliwa kuwa mtu Fulani wa kuheshimika na kutetemekewa ghafla bin vuu unapelekwa kwa vitoto vya farao full madharau, havina heshima no nidhamu , Full madaha eti ukavisimamie , mbona...
  9. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Wangejaribu hata kutubalansia mechi na WA package zingine, yaani mechi zote 4, zipo kwa package moja tu, wangetubalansia tu angalau mechi za Mchana moja iwe kwenye package za vifurushi vya chini na za usiku hivo hivo
  10. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Na ninateseka saana Kama leo sio powah ,mechi ya saa Saba, saa kumi na saa moja zote Holaaaa, sio powaah *****, nikasema ngoja nicheki TBC nako Holaaaa Nikaamua Nile zangu tu series hapa yaTHE LAST SHIP, Nikisubiria mechi ya saa nne usiku labda wanaweza tukumbuka sisi wengineo
  11. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Nifafanulie code mkuu na mm nihamie huko , Mana hii 36000 yangu Bora hata ningenunua hata kiroba Cha Mchele Nile ninenepe mie
  12. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Mzee pesa , pesa ,pesa tunajitahidi kuzitafuta Ila hazijai hata kutosheleza bajeti zote
  13. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Leo nipo home TANESCO wametusamehe , DSTV nao wakaamua wanipe mgao wao na wao, yaaani full mvurugano
  14. N

    JamiiForums Tanzania DSTV mna nongwa na siasa siasa nyingi sana

    Pindi kombe la Dunia likiendelea na sisi wapenzi wa mpira Duniani kwa namna moja au nyingine katika kuhakikisha hatupitwi na hii burudani ilioiteka Dunia tuliamua angalau mwezi huu tulipie angalau hata ving'amuzi vyetu vya DSTV malipo ya juu kidogo ili tuweze kuzitazama hizii mechi Mana Hali ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania CCM nguvu mnayoitumia kutetea wakubwa wenu, muitumie hivyo hivyo kutupigania na kutuletea maendeleo sisi wananchi wa Tanzania

    Ni wetu sote mkuu Mana maamuzi wanayoyafanya yanatuasiri sisi raia wote , mfano Mambo ya kukopa matilioni huko nje halafu tunaundiwa TOZO, saizi Kuna varangati la kuanza kulipia Barabara kwa kila gari Yote haya ni Mambo ambayo yanasababishwa na Hawa tunaowachagua au wanaoteuliwa
Back
Top Bottom